Sio mbaya na sio nzuri sana. Afrika tunateswa sana na EXTENDED FAMILY. Nimeoa huko wanakoua wazazi wao kila uchao, niseme ni changamoto, utahudumia, wakwe, wajomba, wazazi, ndugu, shangazi, watoto wa shangazi na ndugu chungu mzima. Hata kama unapata pesa around 2.6 M take home, per month still haitoshi, unajitutumua kuwalipia Bima za afya hasa watoto ili kupunguza ukali wa maisha lakn utaambiwa ada, madaftari mara nguo nk.
Nimependa maisha ya wenzetu hawana muda sana na hao ndugu na jamaa. Kama sio kuwa na familia ningeishi nje kibabe sana, i feel bad kukosa ile chance ya kuishi Brazil kisa nimemzalisha mtoto wa watu huku and she was like insane mpaka akataka kujiua.
Hahahah nimerudi huku nimejua mpaka KUBET [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]