Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wabongo wengi mtu akitoka nje huwa mnahisi anaringa,Hatujawasakama ndugu,tunaulizana tu kutokana na tambo na ,mbwembwe,manjonjo yao ilhali Hali yao kiuchumi Ni jojo.
huna jipya wee jizee, porojo zako ni hizohizo miaka yote.We are out here making big moves.
Na siku hizi hata likizo tunaishia Turks and Caicos, au tukijq Bongo ni kifqmilia zaidi.
Yaani unazungumzia matabaka gani, sisi tunachoangalia kule kuna kazi nyingi na fursa nyingi, malipo ni makubwa si ndio? Kukomaa kwa matabaka kunatuhusu nini, mtu kapata kazi kiwandani anagonga mzigo!Hahaa ila Watz mnachekesha sana. Wengi wenu hamzifahamu vizuri nchi zilizoendelea.
Jamani huwezi kwenda kwenye hizo nchi ukatajirika tu kirahisi, lasivyo wananchi waliopo huko wasingekuwa wanalia kila kukicha inequality.
Maisha ya kule ni magumu mnoo, kila kitu kimeshajiset na matabaka yamekomaa. Sio rahisi uanzie from zero to hero. Ndio maana wengi wanaishia kwenye madawa wanakuwa disillusioned.
Hahahaaa nitajie hizo fursa nyingi hapa. Na kama huelewi dynamics za classism na kwanini nimetaja matabaka na nuances zake mpaka zinasababisha watu kishindwa ku excell in society siwezi kukusaidia kwa kweli. Unaweza ukaishia kujiuza.Yaani unazungumzia matabaka gani, sisi tunachoangalia kule kuna kazi nyingi na fursa nyingi, malipo ni makubwa si ndio? Kukomaa kwa matabaka kunatuhusu nini, mtu kapata kazi kiwandani anagonga mzigo!
Nimeshakutajia, viwandani.Hahahaaa nitajie hizo fursa nyingi hapa.
Hahahaha eti viwandani. Hahahahaaa.Nimeshakutajia, viwandani.
Badala ya kuelezea unakalia kusema unajua unajua!, hizo working conditions zikoje na hiyo hali ya migrants ikoje?. Wewe unasema viwandani sio fursa ya maana, unajua mtu mwenye ujuzi analipwa sh ngapi kwa saa?Hahahaha eti viwandani. Hahahahaaa.
Unaujua ujira w watu wanaofanya kazi viwandani relative to the living expenses za hizo nchi?
Unajua working conditions kwenye hivyo viwanda? Unajua hali ya migrant workers kwenye hivyo viwanda?
Nikajua utataja fursa ya maana eti viwandani. Hahahaaaa.
Hahahahahaaaaaa. Hujui kitu ndio maana unaongea tu. Hujajibu swali langu hata moja kazi yako kudeflect. Eti viwanda. Unafikiri tupo kwenye 1960s?Utaenda kwenye hizo nchi upewe work permit ya kuwa kibarua kiwandani? Au ni ujuzi gani uliospesho sana ulionao wewe kwenye sekta ya viwanda ambayo hana mtu kwenye hio nchi au nchi za jirani?Badala ya kuelezea unakalia kusema unajua unajua!, hizo working conditions zikoje na hiyo hali ya migrants ikoje?. Wewe unasema viwandani sio fursa ya maana, unajua mtu mwenye ujuzi analipwa sh ngapi kwa saa?
By the way umeshawahi kukaa nchi gani, au unasikia tu?
Unajua maana ya kibarua? Kibarua ni mtu asiye na proffesion. Wewe unasikia, mimi nimeishi huko. Kaa na hizo habari zako za kusikia.Hahahahahaaaaaa. Hujui kitu ndio maana unaongea tu. Eti viwanda. Unafikiri tupo kwenye 1960s. Utaenda kwenye hizo nchi upewe work permit ya kuwa kibarua kiwandani?
Ndugu utaishia kujiuza.
Hata mimi nipo nafanya kazi huku kwenye Ikulu ya Marekani. Hunijui sikujui. Hata ukisema upo NASA ni sawa tu huku kwenye hii anonymous forum anyone can be anything.Unajua maana ya kibarua? Kibarua ni mtu asiye na proffesion. Wewe unasikia, mimi nimeishi huko. Kaa na hizo habari zako za kusikia.
Msalimie Joe Biden.Hata mimi nipo nafanya kazi huku kwenye Ikulu ya Marekani. Hunijui sikujui. Hata ukisema upo NASA ni sawa tu huku kwenye hii anonymous forum anyone can be anything.
Salamu zitafika usijali.Msalimie Joe Biden.
Ila ulaya wale wanaotoboa inakuwagaje?
Mimi nahisi hili ndio tatizo kubwaKwenye maisha yoyote, popote ogopa kitu Ulimbukeni.
Kujitia mtu wa mjini kumbe umetoka Makanya Kwa kina Taikon.
Kujifanya Mzungu wakati wewe ni Muafrika.
Kujifaraguza unapesa au umetoka familia bomba wakati wewe ni fukara.
Ulimbukeni wa kupapukia na kurukia vitu vipya, ogopa sana
Hapo unadanganya bwasheeKama akili hana anapewaje shavu? Jk pamoja na kupendelea ndugu zake lakini kwa miraji alishindwa
Kubeba box ndio kazi gani mkuuSio kweli Bana yaani ukae England alafu usifanikiwe labda uwe MTU wastarehe Ila kama unamalengo unatoboa Nina class mate nilimaliza nae Six Yuko poa tuu Baba Ake Alikuwa na uraia wa Huko akamchukua huyo binti akampambania akapata uraia akamsomesha unesi kila mwaka anarudi anabadisha gari km Hana akili amejenga na ana biashara zake hata 30 age hajafika.
Mwengine shemeji yangu yy England ni raia sasa toka afike Uingereza Anamiaka mitatu huyu yy watoto wake wanasoma shule nzuri wote km wanne hivi kila mwezi anatuma sichini ya m 1 Kwa ajili ya matumizi na anajenga some where sasa hivi na anaplan Kurudi August mwaka huu.
Yaani ukae Europe alafu uwe lofa ww sio mzima kinyume na hapo labda uwe MTU wa starehe na mvivu KAZI kibao za viwandani, kubeba boksi, km unaelimu kidogo ndo unatoboa japo kuna mtiririko wa Kodi lkn cha kuweka hukosi.
acha tu, kwakweli tukanza kupiga story za lile begi huwa tunacheka mno na sister, japo bro hajui kama tunachekaga.... halafu sio begi kwamba mtu kalitoa shop yani limechoka utadhani limeokotwa[emoji1783][emoji23][emoji23][emoji28][emoji28]macho yanacheka moyo unalia[emoji24][emoji30]