Hivi kuna uhusiano wa kwenda Ulaya na kufeli maisha?

Yaani,hata siwaelewi Hawa watu!
 
Mkuu si umetoka kusema ulikuwa mitaa ya Tangi bovu mnakula maraha na mmarekani wako nyani ngabu???

Au mimi ndio nina mtindio wa ubongo??

😁😁😁😁😁
We naee hujui kutumia nyakati?"ulikuwa""Ina maanisha wakati gani?jiongeze.
 
Huyo nguvu za kiume zikiisha ndio atajua hajui.....atabaki kutupa story u know this,u know that
 
Kanishukia Kama mwewe🤣
Yeah, sometimes huwa hapendagi masihara, we kuna ubuyu eti nasikia huyo jamaa ni mzee wa Ikungulyabashashi mtu mzima Ngabu? Soma hapa chini...
Mkuu si umetoka kusema ulikuwa mitaa ya Tangi bovu mnakula maraha na mmarekani wako nyani ngabu???

Au mimi ndio nina mtindio wa ubongo??

😁😁😁😁😁
 
Mfano halisi mbona upo ambae ni lemutuz,mzee miaka 60 bado anakimbizana na vibinti huko mtaani
U know!niko na le mbebez,le mtindiz.....sijui wanavutishwaga nini ndugu zetu wakienda huko!
 
Yeah, sometimes huwa hapendagi masihara, we kuna ubuyu eti nasikia huyo jamaa ni mzee wa Ikungulyabashashi mtu mzima Ngabu? Soma hapa chini...
Huyo wa chini nilishamjibu,ajifunze kutumia tenses vizuri.....Mjuni!huo ubuyu sijauelewa hebu nieleweshe
 
Waliotoboa huwezi kusikia wanasemwa vibaya,maisha ni kupambana kuna watu wametoka vijijini kwao wakaenda mjini na wahajafanikiwa kwanini muwasakame walioenda nje kutafuta maisha
Hatujawasakama ndugu,tunaulizana tu kutokana na tambo na ,mbwembwe,manjonjo yao ilhali Hali yao kiuchumi Ni jojo.
 
Wewe ni global citizen...Hali yako kwa Sasa niaje lakini?
Sio mbaya na sio nzuri sana. Afrika tunateswa sana na EXTENDED FAMILY. Nimeoa huko wanakoua wazazi wao kila uchao, niseme ni changamoto, utahudumia, wakwe, wajomba, wazazi, ndugu, shangazi, watoto wa shangazi na ndugu chungu mzima. Hata kama unapata pesa around 2.6 M take home, per month still haitoshi, unajitutumua kuwalipia Bima za afya hasa watoto ili kupunguza ukali wa maisha lakn utaambiwa ada, madaftari mara nguo nk.
Nimependa maisha ya wenzetu hawana muda sana na hao ndugu na jamaa. Kama sio kuwa na familia ningeishi nje kibabe sana, i feel bad kukosa ile chance ya kuishi Brazil kisa nimemzalisha mtoto wa watu huku and she was like insane mpaka akataka kujiua.

Hahahah nimerudi huku nimejua mpaka KUBET [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Hata ungekuwa wewe mkuu,Ufike lower Manhattan paaaa!,Afu kwenye story zako zote usipataje kweli....Wachana na USA bna
Halafu nikimaliza kuwasimulia ndio niwaulize una buku tano hapo!aaah we king tuheshimiane
 
Dah Extended family Ni suala mtambuka....nimekulewa vizuri....hapo kwenye kubet hapo🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…