Hivi kuna uhusiano wa kwenda Ulaya na kufeli maisha?

Kuna mmoja mtoto wa kishua kakaa US miaka nane, karudi last year around November, kawa shoga. mbaya zaidi anatumia cocaine.

halafu kama kadata flani hivi. Kichwani anasuka nywele na kutoboa masikio kama mtoto wa kike.

Sijui huko ughaibuni wazungu wanafanya nini hawa vijana wanaotokea Afrika.
 
Wengi walioko nje ya nchi hawanaga mbele wala nyuma, kijana wabongo anamzidi maendeleo Kuna mwingine namjua kakaa Uingereza more than 25 ila alirudi akiwa njaa Kali hana mbele wala nyuma, akarudi ndio kufungua duka la nguo tena akiishi kwa kutegemea Kodi ya nyumba iliyoachwa na wazazi wake, bahati nzuri akapata mwanamke ni Dr ndio kamuoa yeye yupo yupo tu, wengine nawafahamu wako Marekani na Wana maisha magumu mama Yao ni mstaafu ndio huwatumia hela za ku survive, in short wengi walipelekwaga nje na wazazi wasome ila Sasa ni mizigo wanategemea hao wazazi wao na wamepoteza focus za life
 
Yaani Sielewi...sijui huwa wanalimbuka wakifika huko!
 
Ila Ulaya wale wanaotoboa inakuwagaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…