Hivi kuna uhusiano wa kwenda Ulaya na kufeli maisha?

Hivi kuna uhusiano wa kwenda Ulaya na kufeli maisha?

Wengi walioko nje ya nchi hawanaga mbele wala nyuma kijana wabongo anamzidi maendeleo Kuna mwingine namjua kakaa Uingereza more than 25 ila alirudi akiwa njaa Kali hana mbele wala nyuma, akarudi ndio kufungua duka la nguo tena akiishi kwa kutegemea Kodi ya nyumba iliyoachwa na wazazi wake, bahati nzuri akapata mwanamke ni Dr ndio kamuoa yeye yupo yupo tu, wengine nawafahamu wako Marekani na Wana maisha magumu mama Yao ni mstaafu ndio huwatumia hela za ku survive, in short wengi walipelekwaga nje na wazazi wasome ila Sasa ni mizigo wanategemea hao wazazi wao na wamepoteza focus za life
Yaani Hilo ni TATIZO kiukweli..Wanaondoka wakiwa na ndoto kubwa sana Ila wanaishia kupoteza hata uwezo mdogo waliokuwa nao...SAD
 
Wana mbwembwe Sana kila saa utasikia nilivyokua Texas,Mara nilivyokua Ibiza Bora mradi watu wajue alishaenda huko khaaa!
Changamoto Ni kwamba wanataka waonekane special ikiwa mfukoni kumetoboka.

Wanapoteza nguvu kubwa sana kutafuta umaarufu na kumantain ile status ya kuish USA kwa gharama kubwa Sana.

Mwisho wa SIKU hate kile kidogo walichorud nacho kinapotea kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hukustahili kutwambia ulimuacha kwasababu hakua Kama ulivomtarajia.

Unatupa picha kua uliingia kwenye mahusiano na ukiwa ushapiga na mahesabu yako tayar [emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
Of course nilikuwa na mahesabu...Hivi Kuna binaadamu anaingia tu kwenye mahusiano bila kufanya mahesabu?utakuwa mwehu......sijui labda nyie wanaume
 
Kama alikuwa chawa wa Jiwe ameisha[emoji28]
Alkua chawa wa jiwe kupitia kina Jerry mulo na Sabaya.

Root za dar-moshi-arusha zilikua nyingi Sana enzi za mwendazake.

Hata genge la mtungo wa NANDY CHUGA nae katajwa sana kuhusika japokua hakupiga ila alikuepo na alikausha mdada wa watu akipelekewa Moto next door [emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Of course nilikuwa na mahesabu...Hivi Kuna binaadamu anaingia tu kwenye mahusiano bila kufanya mahesabu?utakuwa mwehu......sijui labda nyie wanaume
Apo nakuelewa Sasa[emoji4]

Sema jamaa nae mjanja Sana, alitumia mbinu Safi Sana kukunasa mwana mahesabu na ukajaa ukaliwa kimasihara

Otherwise Kama yeye alikupenda sana, alkua na long plans na wewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na wa mikoani wanaojivuna wakifika dsm kisha miaka kibao inapita hawana lolote wanzishiwe uzi wao, huwa wana tamba sana kama wana maisha vile... Baadae wanarudi bush wamechoka, kutoboa sio mchezo
🤣🤣🤣🤣🤣Tuwatie Moyo kwa kuwa Tanzania Ni moja tupambane kwa pamoja
 
Back
Top Bottom