Memento
JF-Expert Member
- Jun 13, 2021
- 4,423
- 9,986
Kama akili hana anapewaje shavu? Jk pamoja na kupendelea ndugu zake lakini kwa miraji alishindwaLe Mutuz nashangaa hapewi shavu kwanini au baba yake hajakipigania chama?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama akili hana anapewaje shavu? Jk pamoja na kupendelea ndugu zake lakini kwa miraji alishindwaLe Mutuz nashangaa hapewi shavu kwanini au baba yake hajakipigania chama?
Hahahahahahah Miraj hana akili auKama akili hana anapewaje shavu? Jk pamoja na kupendelea ndugu zake lakini kwa miraji alishindwa
Naunga mkono hoja! Ukiwa na profession ulaya rahisi kutoboa sana hasa hizo za afya malipo mazuri! Unaingiza hela nyingi kwa muda mfupi halafu hata uki convert kibongo ukiwa na. Pound 5000 tu ni hela ndefu huku na wala kwao kuipata sio kazi kama unajishughulisha!Sio kweli Bana yaani ukae England alafu usifanikiwe labda uwe MTU wastarehe Ila kama unamalengo unatoboa Nina class mate nilimaliza nae Six Yuko poa tuu Baba Ake Alikuwa na uraia wa Huko akamchukua huyo binti akampambania akapata uraia akamsomesha unesi kila mwaka anarudi anabadisha gari km Hana akili amejenga na ana biashara zake hata 30 age hajafika.
Mwengine shemeji yangu yy England ni raia sasa toka afike Uingereza Anamiaka mitatu huyu yy watoto wake wanasoma shule nzuri wote km wanne hivi kila mwezi anatuma sichini ya m 1 Kwa ajili ya matumizi na anajenga some where sasa hivi na anaplan Kurudi August mwaka huu.
Yaani ukae Europe alafu uwe lofa ww sio mzima kinyume na hapo labda uwe MTU wa starehe na mvivu KAZI kibao za viwandani, kubeba boksi, km unaelimu kidogo ndo unatoboa japo kuna mtiririko wa Kodi lkn cha kuweka hukosi.
Azitoe wapi?Hahahahahahah Miraj hana akili au
na mpwawe Parabora wametusisitiza sana kwa kweli, ni sisi tuMbona Mheshimiwa Beatrice Kamugisha alituambia tutoke jmn
Kwahiyo ulimpa tunda kimasihara kisa UlayaWasalaam wanajamvi.
Jamani Kuna jambo linanifikirisha kwa muda sasa, hivi kuna uhusiano wowote kwa vijana wa makamo wanaorudi toka ughaibuni na kufeli maisha?nimekutana na case Kama tatu hivi ambazo zimenivuruga kichwa.nitazielezea kufupi
1. Katika hekaheka za humu duniani nilikaribishwa kwenye house party moja maeneo ya Salasala,ilisheheni mbwembwe za kila aina, nilikuwa na wadada warembo na wakaka wamotoo, kila mtu alijifanyia ni mmarekani, Siku hiyo nilijiona nimeokota dodo chini ya mchongoma kwani Kuna jamaa very presentable aliyetambulishwa Kama ndio fresh karudi zake kutoka ughaibuni alitokea kunitunuku.hapo ndio ulikuwa mwanzo wa penzi tamu nikiwa na matarajio kibao.
Picha linaanzia huyu Bwana hana hata nyumba, kapewa nyumba na wazazi wake maeneo ya Tangi bovu ndio anaishi hapo,Huyu Bwana sifa ya umalaya hakubarikiwa, yeye ni mlevi hujapata ona,akiamka asubuhi anaoga,anawasha zake muziki anaanza kunywa whiskey jamani Ni asubuhi ya saa tatu, hiyo Ni mpera mpera mpaka atavyolala Sasa sita, Alikuwa anapenda kupika mwenyewe anapika anakula kidogooo vyote najilia mie yeye anatwanga mipombe yake..baada ya miezi kadhaa nikaanza muuliza ana mpango gani wa maisha?kazi au biashara hana jibu sahihi..Nina search zoom namuonyesha nafasi za kazi jibu lake sawa nita apply, miezi inayoyoma yule bwana hastuki wala nini.Imagine mtu ana 41 anapewa pocket money na mama..
Nikaanza lalamika kwa ndugu zake wa karibu ,mtoto wa baba yake mdogo akaniita faragha"Kama kweli una ndoto na maisha yako hapo unapoteza muda wako buree huyo hajarudi na kitu chochote zaidi ya begi lake na picha za kwenye barafu,,,huko Germany hajasoma chochote na wala huku nyumbani hajainvest kitu chochote kufupi Ni kwamba"Kaenda KUZURURA miaka Saba halafu karudi hoi..nikachoka na penzi likafa..Ila penzi lake lilikuwa tamu sana hana kero,muelewa, romantic kwa kweli abarikiwe Sana na atolewe tozo kwenye kila muamala ataofanya.
2. Huyu ni kaka wa best friend wangu, siku anaondoka hadi airport tumemsindikiza akielekea UK akiahidi ahadi kedekede lazima apambane atoke kimaisha kwamba nafasi aliyoipata hawezi chezea.....Jamani Kaenda huko miaka sita baadae hata nauli ya kurudi ilibidi atumiwe, karudi hana hata mia yupo tu amekuwa mwamba wa kupiga virungu.
3. Huyu wa tatu nahisi ndio kamaliza Ulaya yoteee kikubwa anachomiliki Ni saa aina Seiko anadai Ni original alinunua Milan,simu yake ya smartphone ,kiingereza kilichonyooka na album yake ya Google photos ukiwa imesheheni picha pambe kabisa zenye madhali ya kuvutia sana.Nae kwa virungu na uchawa hajambo.
Sasa Hawa Ni mfano tu wa wengi wanaokwenda huko ughaibuni na kurudi tee. hebu tuwaulize nyie mnaojiita Diaspora huko huwa mnafanya nini?wenzenu huku nyumbani Mambo yetu Ni bambam tumeoana,tuna watoto,tunaishi vizuri.Sasa huko jamani mbona Kama mnapoteza muda Ila mkitupia picha mnatuvimbia kwelikweli ilihali si uhalisia. My Take Kama huko Mambo meusi rudini nyumbani tujenge nchi..Nyie vijana wenye ndoto za kwenda kusaka tonge huko ughaibuni nawashauri mpambane tu hapa nyumbani mtatoboa unless mkachukue elimu mrudii.
Mm nakataa. Japo hata hapa bongo mnaweza ajoriwa kazi wote siku moja mwenzio akasonga wewe ukaishia simu nzuri, club's na madem plus mvinyo. Kitu chochote ni targets. Ulaya kuna fursa za ajira bado lakini kwa wapambanaji. Ila ukifika kule ukiishi kama raiya wa kule nimekula kwako.Ulaya ni kupiteza muda tu! Hakuna kitu. Bora hata sauzi. ....tunawaona vijana wa sauzi. Wanarudi na maendeleo
Hebu fikiria mzee wa miaka 50 na zaidi yupo kwenye magenge ya kufanyia mitungo wajukuu zake...Halafu kwani binti alimlia Nani pesa mpaka asulubiwe kiasi hicho?Alkua chawa wa jiwe kupitia kina Jerry mulo na Sabaya.
Root za dar-moshi-arusha zilikua nyingi Sana enzi za mwendazake.
Hata genge la mtungo wa NANDY CHUGA nae katajwa sana kuhusika japokua hakupiga ila alikuepo na alikausha mdada wa watu akipelekewa Moto next door [emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiangalia anavoshindana na vijana uko mitandani hafanani kabisa na miaka 50 alokua nayo[emoji4]Hebu fikiria mzee wa miaka 50 na zaidi yupo kwenye magenge ya kufanyia mitungo wajukuu zake...Halafu kwani binti alimlia Nani pesa mpaka asulubiwe kiasi hicho?
Kwa hiyo hapa tunajifunza wakifika huko wanajifanya na wao Ni wazawa huko na kusahau Kama wao Ni wakwenda tu...so wangetulia wangetoka tuMm nakataa. Japo hata hapa bongo mnaweza ajoriwa kazi wote siku moja mwenzio akasonga wewe ukaishia simu nzuri, club's na madem plus mvinyo. Kitu chochote ni targets. Ulaya kuna fursa za ajira bado lakini kwa wapambanaji. Ila ukifika kule ukiishi kama raiya wa kule nimekula kwako.
Kama bongo mtu anatoka kwa mshahara wa ml 2 kila kitu humohumo inashindikana vipi ulaya???
Hv nandy kumbe alipigwa mtungo kikweli kweli..nilijua alihepa[emoji2960][emoji2960]Alkua chawa wa jiwe kupitia kina Jerry mulo na Sabaya.
Root za dar-moshi-arusha zilikua nyingi Sana enzi za mwendazake.
Hata genge la mtungo wa NANDY CHUGA nae katajwa sana kuhusika japokua hakupiga ila alikuepo na alikausha mdada wa watu akipelekewa Moto next door [emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi si warudi nyumbani..Kuna watu wanapenda Sana sifa zakijinga kwamba tunakaa Ulaya 😁Ni nadra sana kutoboa ukiwa huko,huku mwalimu wa shule ya msingi anamshinda aliyeko huko nje. Mie Kuna ninao wajua wako nje ila wazazi huku nyumbani wanawasaidia
Aiseee Bora kudanga Tanzania kuliko kupoteza muda huko Ulaya....rudini tu kwa kweliHuyo wa kwanza na stori yako ya kudanga ni nani alie feli maisha kati yako na yeye? Hapo imeshadhihirisha wewe ndo umeshafeli maisha maana unadanga
Muhuni mzee.Tatizo kakaa kifala fala Sana. Hadi wanaona aibu watamuweka wapi[emoji23]
Sent from my vivo 1938 using JamiiForums mobile app
---very few waliosoma nje undergraduate wanaweza pambana na mishe za kibongobongo---I repeat---very few---Wachache sana!
QUOTE] kwa wanaosoma post graduate vipi?, education system yao ya post graduate ina work huku kwetu?
Sio wote wengine ndugu zetu waliokimbilia huko ndio wanatuokoa.Aiseee Bora kudanga Tanzania kuliko kupoteza muda huko Ulaya....rudini tu kwa kweli