YEAH NIDHAMU YAKO TU!!!!!!Sio wote wengine ndugu zetu waliokimbilia huko ndio wanatuokoa.
Bongo hii maisha ya kifala sana tena ukute unadegree ya sociology kama yangu bora ukimbilie tu huko ikabebe box
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
YEAH NIDHAMU YAKO TU!!!!!!Sio wote wengine ndugu zetu waliokimbilia huko ndio wanatuokoa.
Bongo hii maisha ya kifala sana tena ukute unadegree ya sociology kama yangu bora ukimbilie tu huko ikabebe box
YEAH ILA KUNDI LA WASIO JIELEWA NDIYO KUBWA SANA , Mr Chris Wood.Acha kujidanganya kundi kubwa la waliokimbilia ulaya wanaunafuu wa maisha kuliko wanaosota hapa bongo.
Hao wanaorudi na laptop pamoja na smartphone ni kundi la wachache ambao hawajielewi
Anzisha mkuu maana wamewajengea watu dar kila mtu na picha yake [emoji23][emoji23][emoji23][emoji848]Na wa mikoani wanaojivuna wakifika dsm kisha miaka kibao inapita hawana lolote wanzishiwe uzi wao, huwa wana tamba sana kama wana maisha vile... Baadae wanarudi bush wamechoka, kutoboa sio mchezo
Wewe ni Kati ya wawili katika 10...Big up mkuu...bwawani ukiwa na mpunga Kama mbele tu vijana wa hapa bwawani Ni wapambanaji account zao sio poaMsitunange banaa, mbona wengine sie tumekaa miaka kibao huku ughaibuni tuna familia na mijengo tumenunua huku tunajilipia mortgage tu.Halafu bongo pia tuna mijengo tukifika hatuendi hotel au kwa hizo apartments!! tunafikia kwenye mijengo yetu. Ughaibuni inategemea na malengo yako kama ulienda ili baadae urudi bongo umetoboa, basi inatakiwa uwe na discipline ya maisha maana maisha ya ulaya yana utaratibu wake. Sie wengine tulikwenda kuishi!! bongo tunakuja vacation mara 1 kwa miaka miwili, maana bongo yenyewe inaboa mvua ikinyesha maji yanavyojaa kwa barabara utasema unaishi bwawani, mbu, nzi kibao na umeme na maji vya mgao noumer sana wallah.
Kwa kweli wale ndio Mama's boy Hadi wanazeekaKila mtu ana namna yake ya kufurahia maisha. Ndivyo walivyolelewa na hao wengi wao wazazi wao wanakua vizuri kiuchumi ko hulelewa na wazazi.
Kama wanakula bata kama huyo jamaa ako wa 1 si mbaya. Acha atumie pesa za mama.
Uko sahihi...Kuna mpuuzi hapa amekaa South Africa miaka nane. Alichorudi nacho ni cheni ya Silver na simu na sasa anataka nimkopeshe nauli eti akifika Dizonga' atanitumia double ya kiasi nitakachompa.Ni nadra sana kutoboa ukiwa huko,huku mwalimu wa shule ya msingi anamshinda aliyeko huko nje. Mie Kuna ninao wajua wako nje ila wazazi huku nyumbani wanawasaidia
Wanahitaji elimu ya kujitambua..wanadiss bongo ni Kama bwawani,Kuna nzi na mbu kibao wanasahau hiyo ndio root yao, unaodhani watu Kama Hawa wanafanikiwaje?wanavioneo fahari visivyo vyao na kuvipondea vya kwao...Changamoto Ni kwamba wanataka waonekane special ikiwa mfukoni kumetoboka.
Wanapoteza nguvu kubwa sana kutafuta umaarufu na kumantain ile status ya kuish USA kwa gharama kubwa Sana.
Mwisho wa SIKU hate kile kidogo walichorud nacho kinapotea kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo ivo, unajua kuna kitu we unaweza ona ni cha ajabu sana, ila anaekifanya anaona ni kawaida tu.Kwa kweli wale ndio Mama's boy Hadi wanazeeka
Kuna jamaa hapa nae hivyo hivyo utasikia mazeee mpumalanga kuna mashori lkn mfukoni hana kitu mizinga kwenda mbeleUko sahihi...Kuna mpuuzi hapa amekaa South Africa miaka nane. Alichorudi nacho ni cheni ya Silver na simu na sasa anataka nimkopeshe nauli eti akifika Dizonga' atanitumia double ya kiasi nitakachompa.
Duuuuh hivi issue kumbe ilikua kweli?! Bongo nyosoAlkua chawa wa jiwe kupitia kina Jerry mulo na Sabaya.
Root za dar-moshi-arusha zilikua nyingi Sana enzi za mwendazake.
Hata genge la mtungo wa NANDY CHUGA nae katajwa sana kuhusika japokua hakupiga ila alikuepo na alikausha mdada wa watu akipelekewa Moto next door [emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app
🤣🤣🤣🤣Wana uraibu na hiyo Dzonga usiombe ukutane naoUko sahihi...Kuna mpuuzi hapa amekaa South Africa miaka nane. Alichorudi nacho ni cheni ya Silver na simu na sasa anataka nimkopeshe nauli eti akifika Dizonga' atanitumia double ya kiasi nitakachompa.