Hivi kuna ukweli wowote kwamba "Mechi" za mara kwa mara ndio siri ya amani kwenye ndoa/mahusiano?

Mkono Mmoja

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2019
Posts
4,994
Reaction score
9,625
Habari zenu wanajukwaa la MMU,

Kuna kitu nimekuwa nikikifanyia uchunguzi wa chini kwa chini kwa muda mrefu sana kwenye familia na mahusiano ya watu wengi wanaonizunguka, na leo nikaona si vibaya nikilete hapa jukwaani tukijadili kwa pamoja.

Kuna hii nadharia kwamba: Wapenzi au wanandoa ambao wana tabia ya kushiriki tendo la ndoa mara kwa mara , ni ngumu sana kukuta wana migogoro au magomvi ya kijinga ndani ya nyumba.
Yaani unakuta hata kama uchumi unayumba au kuna changamoto za kawaida za maisha, lakini ile "shughuli" ikiwa inaenda vizuri na kwa ratiba inayoeleweka, amani inakuwepo tu. Inasemekana hii kitu inapunguza hasira, inasafisha nyoyo, na inafanya watu wazoeane kiasi kwamba hata mtu akikosea kidogo, mwenzake anasamehe kirahisi sana kwa sababu tu ya ile "huduma ya unyumba" anayoipata chumbani.

Kinyume chake pindi wanandoa au wapenzi wanapokuwa hawapeani unyumba ndani ya wiki 2 hadi mwezi basi hata salamu tu ya asubuhi hugeuka kuwa ugomvi mkubwa.

Hivi wakuu, hii kitu ina ukweli wowote wa kisayansi au kisaikolojia, ama ni stori tu za vijiweni? Kwa uzoefu wenu (kwa mlio ndani ya ndoa au mahusiano ya muda mrefu), je, unyumba wa mara kwa mara ndio ngao kuu ya amani na utulivu kwenye familia?

Huenda kifo cha jeni kingeweza kuepukika alfajiri endapo usiku wake ndugu kweka angekuwa amepata unyumba. Wanawake acheni kutumia unyumba (kuficha uchi) kama fimbo ya kuwachapia wanaume ndani ya ndoa.

karibu ulete maoni yako.
 
Wale viongozi wetu maofisini wenye jazba na hasira huko maofisini tena jinsia KE ndio huwa wana tabu sana, ukikuta ni singo mama hivii.....hapati sex kwa wakati
 
Kuna ile ya

Making love sio kama hamjuani...

Bembeleza
Toa raha
Akikaa analoaaaa unaloaaaa
N.K.

Evelyn kasema lingine

Pia zawadi ya kama gramu 500 ya gold mara kwa mara nayo nzuri... 😅😅😅😅 Hii kiuwez. Ni kumpendezesha mwenzako. Na uwekezaji
 
Kamwe hakuna Me aliyewahi, anaye na atayemridhisha Ke kimapenzi milele na milele zote sababu hubadilika popote na wakati wowote kama kinyonga.

Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.
 
Habari zenu wanajukwaa la MMU,

Kuna kitu nimekuwa nikikifanyia uchunguzi wa chini kwa chini kwa muda mrefu sana kwenye familia na mahusiano ya watu wengi wanaonizunguka, na leo nikaona si vibaya nikilete hapa jukwaani tukijadili kwa pamoja.

Kuna hii nadharia kwamba: Wapenzi au wanandoa ambao wana tabia ya kushiriki tendo la ndoa mara kwa mara , ni ngumu sana kukuta wana migogoro au magomvi ya kijinga ndani ya nyumba.
Yaani unakuta hata kama uchumi unayumba au kuna changamoto za kawaida za maisha, lakini ile "shughuli" ikiwa inaenda vizuri na kwa ratiba inayoeleweka, amani inakuwepo tu. Inasemekana hii kitu inapunguza hasira, inasafisha nyoyo, na inafanya watu wazoeane kiasi kwamba hata mtu akikosea kidogo, mwenzake anasamehe kirahisi sana kwa sababu tu ya ile "huduma ya unyumba" anayoipata chumbani.

Kinyume chake pindi wanandoa au wapenzi wanapokuwa hawapeani unyumba ndani ya wiki 2 hadi mwezi basi hata salamu tu ya asubuhi hugeuka kuwa ugomvi mkubwa.

Hivi wakuu, hii kitu ina ukweli wowote wa kisayansi au kisaikolojia, ama ni stori tu za vijiweni? Kwa uzoefu wenu (kwa mlio ndani ya ndoa au mahusiano ya muda mrefu), je, unyumba wa mara kwa mara ndio ngao kuu ya amani na utulivu kwenye familia?

Huenda kifo cha jeni kingeweza kuepukika alfajiri endapo usiku wake ndugu kweka angekuwa amepata unyumba. Wanawake acheni kutumia unyumba (kuficha uchi) kama fimbo ya kuwachapia wanaume ndani ya ndoa.

karibu ulete maoni yako.
Tendo la ndoa ni hitaji kama chakula, huwezi kukaa mda mrefu bila kula, unautesa mwili mwisho ni vidonda vya tumbo. Kupeana mara kwa mara ni afya na kuzidisha upendo.
 
Habari zenu wanajukwaa la MMU,

Kuna kitu nimekuwa nikikifanyia uchunguzi wa chini kwa chini kwa muda mrefu sana kwenye familia na mahusiano ya watu wengi wanaonizunguka, na leo nikaona si vibaya nikilete hapa jukwaani tukijadili kwa pamoja.

Kuna hii nadharia kwamba: Wapenzi au wanandoa ambao wana tabia ya kushiriki tendo la ndoa mara kwa mara , ni ngumu sana kukuta wana migogoro au magomvi ya kijinga ndani ya nyumba.
Yaani unakuta hata kama uchumi unayumba au kuna changamoto za kawaida za maisha, lakini ile "shughuli" ikiwa inaenda vizuri na kwa ratiba inayoeleweka, amani inakuwepo tu. Inasemekana hii kitu inapunguza hasira, inasafisha nyoyo, na inafanya watu wazoeane kiasi kwamba hata mtu akikosea kidogo, mwenzake anasamehe kirahisi sana kwa sababu tu ya ile "huduma ya unyumba" anayoipata chumbani.

Kinyume chake pindi wanandoa au wapenzi wanapokuwa hawapeani unyumba ndani ya wiki 2 hadi mwezi basi hata salamu tu ya asubuhi hugeuka kuwa ugomvi mkubwa.

Hivi wakuu, hii kitu ina ukweli wowote wa kisayansi au kisaikolojia, ama ni stori tu za vijiweni? Kwa uzoefu wenu (kwa mlio ndani ya ndoa au mahusiano ya muda mrefu), je, unyumba wa mara kwa mara ndio ngao kuu ya amani na utulivu kwenye familia?

Huenda kifo cha jeni kingeweza kuepukika alfajiri endapo usiku wake ndugu kweka angekuwa amepata unyumba. Wanawake acheni kutumia unyumba (kuficha uchi) kama fimbo ya kuwachapia wanaume ndani ya ndoa.

karibu ulete maoni yako.
Hakuna kitu kama hicho,kukaa katika njia za kumpendeza Mungu ndio suluhu ya amani kwenye ndoa...
 
Back
Top Bottom