Mkono Mmoja
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 4,994
- 9,625
Karibu mkuu.Jibu ni ndio siongezi wala kupunguza na hakuna sababu ya maoni, umemaliza tayari.
Nasikia kuwa mkifikishwa katika Kilele cha kibo huwa mnaweza kuvumilia hata kama kuna uhaba wa pesaKwichi + hela
Utakua unaombwa radhi kama Tanesco wanavoomba radhi kwa wateja.
Bro tutakula mb.oo au sio πNasikia kuwa mkifikishwa katika Kilele cha kibo huwa mnaweza kuvumilia hata kama kuna uhaba wa pesa
Wanawake na hela tuu. Ndo maana mkipewa hela tuu mnagawa kwichi popote.Kwichi + hela
Utakua unaombwa radhi kama Tanesco wanavoomba radhi kwa wateja.
Bro umeongea kwa uchungu.... tuendelee kuzitafuta tu hela ni tamu sanaWanawake na hela tuu. Ndo maana mkipewa hela tuu mnagawa kwichi popote.
Siyo uchungu Evelyn, ndiyo maisha yalivyo. Ndo maana huwa mnajipanga barabarani kutuuzia.Bro umeongea kwa uchungu.... tuendelee kuzitafuta tu hela ni tamu sana
Dahhhh....Qmmmmk!!Bro tutakula mb.oo au sio π
Hatuuzi tunakodisha, unachonunua unaondoka nachoSiyo uchungu Evelyn, ndiyo maisha yalivyo. Ndo maana huwa mnajipanga barabarani kutuuzia.
Tendo la ndoa ni hitaji kama chakula, huwezi kukaa mda mrefu bila kula, unautesa mwili mwisho ni vidonda vya tumbo. Kupeana mara kwa mara ni afya na kuzidisha upendo.Habari zenu wanajukwaa la MMU,
Kuna kitu nimekuwa nikikifanyia uchunguzi wa chini kwa chini kwa muda mrefu sana kwenye familia na mahusiano ya watu wengi wanaonizunguka, na leo nikaona si vibaya nikilete hapa jukwaani tukijadili kwa pamoja.
Kuna hii nadharia kwamba: Wapenzi au wanandoa ambao wana tabia ya kushiriki tendo la ndoa mara kwa mara , ni ngumu sana kukuta wana migogoro au magomvi ya kijinga ndani ya nyumba.
Yaani unakuta hata kama uchumi unayumba au kuna changamoto za kawaida za maisha, lakini ile "shughuli" ikiwa inaenda vizuri na kwa ratiba inayoeleweka, amani inakuwepo tu. Inasemekana hii kitu inapunguza hasira, inasafisha nyoyo, na inafanya watu wazoeane kiasi kwamba hata mtu akikosea kidogo, mwenzake anasamehe kirahisi sana kwa sababu tu ya ile "huduma ya unyumba" anayoipata chumbani.
Kinyume chake pindi wanandoa au wapenzi wanapokuwa hawapeani unyumba ndani ya wiki 2 hadi mwezi basi hata salamu tu ya asubuhi hugeuka kuwa ugomvi mkubwa.
Hivi wakuu, hii kitu ina ukweli wowote wa kisayansi au kisaikolojia, ama ni stori tu za vijiweni? Kwa uzoefu wenu (kwa mlio ndani ya ndoa au mahusiano ya muda mrefu), je, unyumba wa mara kwa mara ndio ngao kuu ya amani na utulivu kwenye familia?
Huenda kifo cha jeni kingeweza kuepukika alfajiri endapo usiku wake ndugu kweka angekuwa amepata unyumba. Wanawake acheni kutumia unyumba (kuficha uchi) kama fimbo ya kuwachapia wanaume ndani ya ndoa.
karibu ulete maoni yako.
nyie ndio mme monetize mapenzi mwisho wa siku mnakuja kuuliwa kiboya kwa tamaa zenuBro tutakula mb.oo au sio π
Hakuna kitu kama hicho,kukaa katika njia za kumpendeza Mungu ndio suluhu ya amani kwenye ndoa...Habari zenu wanajukwaa la MMU,