Hivi kuna ukweli wowote kwamba "Mechi" za mara kwa mara ndio siri ya amani kwenye ndoa/mahusiano?

Mwanaume ukitaka ndoa yako idumu hakikisha unakuwa mtu wa kuichapa daily.
Kuna muda hata ukihitaji uichape hupewi hadi kwa mieleka.
Kuchapa kila siku sio suluhusho la ndoa.
Jitahidi uwe phenomenal , romantic kila siku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…