Kuna sheria inazuia?Kwann na ligi ya wanawake wasichezeshe wanaume pia? Kuna ubaya?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna sheria inazuia?Kwann na ligi ya wanawake wasichezeshe wanaume pia? Kuna ubaya?
Wale waamuzi ni VILAZANimeona niulize hili swali kwa sababu muda huu naangalia mubashara mechi ya mtoano kati ya Tabora United vs JKT.
Kilicho nihuzunisha ni maamuzi ya kibabaishaji ya hawa waamuzi wote watatu wa kike wanaochezesha huu mchezo. Imagine JkT inaongoza kwa ushindi wa magoli mawili ugenini; na yote ni ya kuotea!
Mchezaji wa Tabora United anavutwa karibu ya eneo la 18 mpaka anaanguka! Mwamuzi Tatu Malogo akapeta!! Mchezaji wa Tabora United anaambiwa ameotea, huku mbele yake kukiwa na mchezaji wa JKT!!
Nikijumlisha na ile mechi ya Tabora United vs Azam, na ambayo wachezaji wao wengi walizuiliwa kucheza ili wafungwe magoli mengi; kiukweli napata mashaka makubwa.
Hivi kuna uwezekano hii timu inahujumiwa eti ndiyo maana wameamua kuwapangia hawa incompetent referees!!!
Halafu kama kuna uhaba wa waamuzi wa kike, TFF iseme! Maana kwa upande wangu sioni sababu kwa hawa waamuzi wa kike kuchezesha mechi za wanaume, na wakati na wenyewe wana Ligi yao ya akina mama.
Na kama wanataka usawa, basi na waamuzi wa kiume nao waruhusiwe basi kuchezesha kwenye Ligi yao.
Uzuri kuna Ligi ya wanawake. Sasa ndiyo nimeuliza kama kuna uhaba wa waamuzi wa kiume, mpaka ligi ya wanaume kuendelea kuchezeshwa na waamuzi wa kike?Wakidanga, mnawasema., Wakipambana mnawasema..
Anyway tatu amezingua
Tabora united inashushwa kifigisu kama ilivyopanda kifigisu. Ilichukua nafasi ya Pamba mwaka jana.Nimeona niulize hili swali kwa sababu muda huu naangalia mubashara mechi ya mtoano kati ya Tabora United vs JKT.
Kilicho nihuzunisha ni maamuzi ya kibabaishaji ya hawa waamuzi wote watatu wa kike wanaochezesha huu mchezo. Imagine JkT inaongoza kwa ushindi wa magoli mawili ugenini; na yote ni ya kuotea!
Mchezaji wa Tabora United anavutwa karibu ya eneo la 18 mpaka anaanguka! Mwamuzi Tatu Malogo akapeta!! Mchezaji wa Tabora United anaambiwa ameotea, huku mbele yake kukiwa na mchezaji wa JKT!!
Nikijumlisha na ile mechi ya Tabora United vs Azam, na ambayo wachezaji wao wengi walizuiliwa kucheza ili wafungwe magoli mengi; kiukweli napata mashaka makubwa.
Hivi kuna uwezekano hii timu inahujumiwa eti ndiyo maana wameamua kuwapangia hawa incompetent referees!!!
Halafu kama kuna uhaba wa waamuzi wa kike, TFF iseme! Maana kwa upande wangu sioni sababu kwa hawa waamuzi wa kike kuchezesha mechi za wanaume, na wakati na wenyewe wana Ligi yao ya akina mama.
Na kama wanataka usawa, basi na waamuzi wa kiume nao waruhusiwe basi kuchezesha kwenye Ligi yao.
Ulisoma comment yangu iko Wazi. Tunalazimisha kuwa na Waamuzi wanawake lakini dunia nzima vyama vya soka vinawachukua Kwa tahadhari kubwa Sana waamuzi wanawake kuchezesha Mechi za wanaume. Mifano ipo Kwa England, Spain, Italy, South Africa nk. Lakini Sisi tumeingia mkenge kisiasa kwenye soka nako tunatafuta gender balance. Binafsi naamini Kwa Sasa tunaongoza Afrika Kwa kuwa na Waamuzi wengi wa kike bila kujali ubora wao. Kama haiwezekani Wachezaji wa kike kusajiliwa timu za wanaume kutokana na kigezo cha nguvu na Kasi, Kwa nini tulazimishe waamuzi wa kike kuchezesha Mechi zenye Kasi kuliko uwezo wao?Basi wajengewe uwezo zaidi mkuu, tutapataje watu competent bila kuwapa nafasi ya kupractice?
Sielewi sana kuhusu mpira, lakini naomba kuulizwa swali.. hao wanawake wamefanya hayo makosa kwasababu ni wanawake? Kama jibu ni ndiyo, kwanini?
Dunia nzima inapambana na gender stereotypes, Tanzania haiwezi kubaki nyuma.
Halafu katika hali ya kushangaza na wenyewe wana Ligi yao ya wanawake! Na imekuwa ikifanya vizuri tu. Sasa kwa nini wasibakie huko kwenye Ligi yao?Ulisoma comment yangu iko Wazi. Tunalazimisha kuwa na Waamuzi wanawake lakini dunia nzima vyama vya soka vinawachukua Kwa tahadhari kubwa Sana waamuzi wanawake kuchezesha Mechi za wanaume. Mifano ipo Kwa England, Spain, Italy, South Africa nk. Lakini Sisi tumeingia mkenge kisiasa kwenye soka nako tunatafuta gender balance. Binafsi naamini Kwa Sasa tunaongoza Afrika Kwa kuwa na Waamuzi wengi wa kike bila kujali ubora wao. Kama haiwezekani Wachezaji wa kike kusajiliwa timu za wanaume kutokana na kigezo cha nguvu na Kasi, Kwa nini tulazimishe waamuzi wa kike kuchezesha Mechi zenye Kasi kuliko uwezo wao?
Makes sense...Ulisoma comment yangu iko Wazi. Tunalazimisha kuwa na Waamuzi wanawake lakini dunia nzima vyama vya soka vinawachukua Kwa tahadhari kubwa Sana waamuzi wanawake kuchezesha Mechi za wanaume. Mifano ipo Kwa England, Spain, Italy, South Africa nk. Lakini Sisi tumeingia mkenge kisiasa kwenye soka nako tunatafuta gender balance. Binafsi naamini Kwa Sasa tunaongoza Afrika Kwa kuwa na Waamuzi wengi wa kike bila kujali ubora wao. Kama haiwezekani Wachezaji wa kike kusajiliwa timu za wanaume kutokana na kigezo cha nguvu na Kasi, Kwa nini tulazimishe waamuzi wa kike kuchezesha Mechi zenye Kasi kuliko uwezo wao?
Sasa kuandika barua huko Bodi ya Ligi na TFF ndiyo kutabadilisha yale matokeo ya kupangwa? Yaani kesi ya nyani apelekewe Ngedere kuamua!!Kama hiyo mechi kmeonyeshwa live mbona hamna haja ya kupiga makelele sana kinachotakiwa ni hao Tabora United kuandika barua na kuituma bodi ya ligi na tff ili hatua zichukuliwe, wanaotakiwa kulaumiwa ni hao tff na bodi ya ligi maana ndio wanalea ujinga.
Kwahiyo kwa kupiga kwako makele humu ndio kunaenda kubadilisha hayo matokeo? Mwanamke kuchezesha mechi ya wanaume sio kesi ili mradi awe anaujua na kuzitumia sheria za mpira wa miguu.Sasa kuandika barua huko Bodi ya Ligi na TFF ndiyo kutabadilisha yale matokeo ya kupangwa? Yaani kesi ya nyani apelekewe Ngedere kuamua!!
Hapa wadau wa michezo tunahoji sababu ya TFF kuendeea kuwatumia waamuzi wa kike kwenye michezo ya wanaume.
Kama ni kufungiwa, hawa waamuzi wameshafungiwa mara nyingi tu kwa sababu ya huko kuvurunda kwao; lakini bado mpaka leo wanaendelea tu kulindwa.
Unapata maumivu gani nikipiga hayo makelee humu jukwaani kulalamikia mambo ya kipuuzi yanayofanywa na TFF/Bodi ya ligi?Kwahiyo kwa kupiga kwako makele humu ndio kunaenda kubadilisha hayo matokeo? Mwanamke kuchezesha mechi ya wanaume sio kesi ili mradi awe anaujua na kuzitumia sheria za mpira wa miguu.
Ok, sasa hapo sio kwamba wawezeshwe zaidi. Huko nako si wataharibu tena ligi ya wamama.Mimi naona wengi wao wana mapungufu kwenye kuchezesha mechi za wanaume. Hivyo nadhani wangechezesha mechi za Ligi ya wanawake wenzao.
Wajengewe uwezo, itawasaidia sana kwavile uzoefu wanao tena wa maamuzi, (mabovu), pia wawakumbushe pia madhara ya maamuzi mabovu na adhabu zake kama zipoImarisheni ligi ya wanawake ili watumike huko. NADHANI BADO KIDOGO MTATULETEA KOCHA MWANAMKE TIMU YA TAIFA