Hivi kuna ulazima wa kuoa/kuolewa??

Hivi kuna ulazima wa kuoa/kuolewa??

jamani hebu tulitazame hili kwa kina maana binadamu tumetofautiana kwa mambo mengi.

wengi wanaotaka kuoa/kuolewa wanasema sababu ni aidha umri kusogea sana ama kupiga hatua kiuchumi(kumiliki mali)
 
Sio lazima kuoa/kuolewa, sema tu basi ilishazoeleka thats why tunaona ka kunaulazima!
 
Kama huko single afu unatembelea MMU sishangai unajiuliza kama ni lazima kuoa/kuolewa. Nadhani ma thread yanawatisha vijana. I thank God sikuwahi tembelea MMU kabla sijaolewa maana labda na mimi ningekuwa kati ya wale wanaoogopa ndoa.

Umegonga mule mule ndugu, sema kweli haya matukio ya sasa hivi yanayoletwa kwenye threads yanatisha jamani japokuwa pia yanamjenga mtu kwa kiasi flani!
 
Kama babu na bibi zetu tangu enzi zile wasingeoana spati picha siju dunia hii leo ingekuwa na sura gani!
 
Doing what you like is freedom like doing what you want is happiness.
 
si lazima kuoa au kuolewa ni kautamaduni ambako kamezoeleka.ktk jamii zetu.ambako kanaweka kipaumbele sana kuhusu kuolewa au kuoa na kama kijana aliyefikia umri wa kufanya hayo hajafanya anashushwa hadhi kwa kiasi fulani
 
Siyo lazima kama mtu anaweza kushinda vishawishi na kuepuka zinaa kwa mujibu wa Biblia. Mtume Paulo alisema ni vizuri kama watu wangeishi kama yeye maana alikuwa hajaoa lakini ili kuepuka zinaa ni heri kila mtu awe na mke wake mwenyewe.

pole sana ndugu yangu kwa bahati mbaya records kubwa ya watu waishio na HIV/AIDS ni wana ndoa kwa hiyo zinaa ipo sana kwa wana ndoa so hapa cha msingi ungesema tu ili kutimiza maandiko zaeni na mkaongezeke na lile la mume/mke atawaacha wazazi wake na wote watakuwa pamoja yaani mwili mmoja.
 
si lazima kuoa au kuolewa ni kautamaduni ambako kamezoeleka.ktk jamii zetu.ambako kanaweka kipaumbele sana kuhusu kuolewa au kuoa na kama kijana aliyefikia umri wa kufanya hayo hajafanya anashushwa hadhi kwa kiasi fulani


kama ana cash zake anapandishwa hadhi anakuwa juu zaidi ya yule mwenye wake 100. hahahahahahhahahh hela nouma.
 
Jibu sahihi utapata kwa walio single in their 50s-60s. Below that ni ngumu saana kujua maana tutakuwa tunaongelea theories.
 
Katika vitu ambavyo si lazima hapa duniani ni ndoa na dini. Tunavyo kwa sababu ya mazoea tu. Usipokua navyo unaonekana muhuni lakini kwa kweli si lazima sana.
 
Back
Top Bottom