Davidmmarista
JF-Expert Member
- Apr 11, 2024
- 3,114
- 6,309
Kuna stori hadi sasa nikisikia naona kama hazina utofauti na mere stories. A lot of story kama, yesu alitembea juu ya maji, kufufua wafu, 🤔still doesn't make sense....
I think this are just stories na hamna direct evidence ya kwamba Jesus was real na alikuja duniani.Waanzilishi wote wa Dini hawakuwepo au hakuna aliyewahi kuwaona.
Hadithi za Mussa zilianza kuandikwa miaka 700 baada ya muda anaosemakana aliishi
Muhammed aliandikiwa miaka 200 baada ya muda anaosemakana aliishi
Yesu aliandikwa miaka 30 paada ya muda inaonesemakana aliishi
Hapo ni sawa umwambie asome simulizi mwingine hawezi kukuelewa ungetoa maelezo mengine yakumuhamasisha zaidi ila sio hayoSoma biblia utaelewa yote yanayo kusibu. Anzia kitabu cha mwanzo
Alikua ni Mungu au mtoto wa Mungu? Elewa swali kabla haujajibu usije ukajichanganya ukajibu tofautiTaratibu mkuu watu wapo kwaresma,miaka 2026 iliyopita yesu alikua amefunga na alikutana na majaribu mazito...
Circular reasoning study the picture hapo juuSoma biblia utaelewa yote yanayo kusibu. Anzia kitabu cha mwanzo
Wewe uliyesoma tunahitaji utatue hiko kitendawili mtumishi mbona simple tu?Soma biblia utaelewa yote yanayo kusibu. Anzia kitabu cha mwanzo
Hapo ndio utapeli ulipo AnzaWaanzilishi wote wa Dini hawakuwepo au hakuna aliyewahi kuwaona.
Hadithi za Mussa zilianza kuandikwa miaka 700 baada ya muda anaosemakana aliishi
Muhammed aliandikiwa miaka 200 baada ya muda anaosemakana aliishi
Yesu aliandikwa miaka 30 paada ya muda inaonesemakana aliishi
Hakuna jambo linaloshindikana, kitu chochote unachokifikiri kwamba kiko hivi au vile, kitu hicho kinauwezekano kipo kama kilivyo vile ulivyofikiri katika mazingira ambayo huyajui..Kuna stori hadi sasa nikisikia naona kama hazina utofauti na mere stories. A lot of story kama, yesu alitembea juu ya maji, kufufua wafu, 🤔still doesn't make sense....View attachment 3552988
Nenda miji aliyoishi. Mbona historia ipo wazi.Kuna stori hadi sasa nikisikia naona kama hazina utofauti na mere stories. A lot of story kama, yesu alitembea juu ya maji, kufufua wafu, 🤔still doesn't make sense....View attachment 3552988
Kuna miji yenye Imani fulani mfano: tukienda kwa wahindi, ukipewa evidence kuhusu vitu wanavyoabudu itabidi ukubali Mungu wa wahindi ndiye muweza wa yote. Pia hii imetokea kwenye different geographical area sehem mbalimbali duniani, same to Mohammed kwenye mataifa ya kiarabu.Nenda miji aliyoishi. Mbona historia ipo wazi.
Ni kwamba haitoshi kusema Yesu alikuja dunia, nikwamba Mungu mwenyewe alikuja kwa umbo la mwanadamu ili kusema naye kama ilivyokuwa desturi yake wakati wa Adam. Pia kujitoa kafara ili kumkomboa mwanadamu na mauti ya milele, kumbuka Mungu alitaka kujidhiirisha yeye ni muweza wa yote.Wewe uliyesoma tunahitaji utatue hiko kitendawili mtumishi mbona simple tu?
SawaKuna miji yenye Imani fulani mfano: tukienda kwa wahindi, ukipewa evidence kuhusu vitu wanavyoabudu itabidi ukubali Mungu wa wahindi ndiye muweza wa yote. Pia hii imetokea kwenye different geographical area sehem mbalimbali duniani, same to Mohammed kwenye mataifa ya kiarabu.
Kila mtu anakuja na lake na hamna ushahidi direct unaelezea haya mambo.
Lakini mkuu ukweli unalala kwenye eneo alilotoka na ndio research zinapo lenga huku kwingine wanaweza kusimuliwa tu either ukweli au uongo na wao wakaeneza habari hizo. Pia nilijaribu kusikiliza nadharia za sehem mbalimbali kila Jamii inala kwake na ukiuliza habari unapewa the same as Yesu.Mkuu dini ni imani tu ila kusema ushahidi wa kihistoria kuwa alikuwepo ni ngumu maana mpaka anakufa sio kama alikua maarufu kama sasa kiasi rekodi zake nyingi zilitunzwa.
Ila tunatumia ushahidi wa maandiko mbalimbali ya wanahistoria wa Israel, roman empire na hata wanazuoni wa kiislam kuconnect dots juu ya uwepo wake.
Mfano mwanahistoria maarufu wa kiyahudi aliyekuwepo enzi za Yesu anaishi duniani, aitwaye Flavius Josephus, anaongelea uwepo wa mtu huyo aliyekua mwalimu na mtenda miujiza! ni sawa tu na uwepo wa Lai kule kondoa au Ng'wanamalundi huko kanda ya ziwa ni imani hata kama hawakuwahi kumuona akiwa hai!!
đź’Ż Ndio tunajaribu kupata maarifa hapa wataalamu watujuze.Ushahidi gani unaohitaji zaidi mkuu, maana hizi dini zote zinetegemea masimulizi na maandiko yao waliorithishana.
Vp nadharia kuhusu Alien, Shetani, Mapepo unaamini vipo?Hakuna jambo linaloshindikana, kitu chochote unachokifikiri kwamba kiko hivi au vile, kitu hicho kinauwezekano kipo kama kilivyo vile ulivyofikiri katika mazingira ambayo huyajui..
Ukitaka kuamini hili. Huwezi kufikiri kitu ambayo hakipo ( non existent )