Hivi Kuna ushahidi wowote Yesu alikuja duniani or it's just a conspiracy theory ya watunga stori?

Bro they are all stories. Hamna fact hapa kila dini Ina la kwake hata kwa wenzetu wahindi ukipewa stori za sanamu wanazojenga pengine wanahisi Kuna kitu Cha tofauti wakiomba vilevile wazee watu waliokuwa wakiomba miti walihisi ila hamna ushahidi zaidi ya hisia na Imani.
Hii ndio fact ukienda huko watakusimulia ukuu wa mtumewao krishna ukiwaendea wayahudi huwaaambii kitu khus sheria za musa alkadhalika waislamu na muhammad
 
Bro they are all stories. Hamna fact hapa kila dini Ina la kwake hata kwa wenzetu wahindi ukipewa stori za sanamu wanazojenga pengine wanahisi Kuna kitu Cha tofauti wakiomba vilevile wazee watu waliokuwa wakiomba miti walihisi ila hamna ushahidi zaidi ya hisia na Imani.
Unataka nini zaidi ya story?
Nikuulize je unaanini kuwa babu yako alikuwa na babu yake?
Kama ndio leta ushahidi tuuone hapa 🙏
 
It's all about family tree bro. Na ni verifiable nimekuta picha za baadhi ya kina babu zangu why not agreeing makaburi yao yapo it's an evidence na yapo maeneo ya nyumbani.
 
Wapo wenye fani zao wamedhibitisha alikuwepo. Wewe una uthibitisho Gani kwamba hakuwepo!?
Thibitisha ambaye unaamini Mimi sifaham ndio maana sikubali Wala sikatai maana sijui. Only facts and evidence will determine the truth.
 
It's all about family tree bro. Na ni verifiable nimekuta picha za baadhi ya kina babu zangu why not agreeing makaburi yao yapo it's an evidence na yapo maeneo ya nyumbani.
Babu wa babu yako umekuta kaburi?
Maana yangu hayo mambo yamepita karne nyingi the only evidence ni kilichoandikwa vimo vya kweli na uongo sikatai,
Na hizo dini unazotolea mifano pia zilikuwepo mkuu 🙏
 
Huwa mtu akisema kitu fulani kilitokea au mtu fulani alifanya jambo, anapaswa kuonyesha ushahidi.

Burden of proof..

Ndio tunachokihitaji ili ukweli ujulikane.
 
It's all about family tree bro. Na ni verifiable nimekuta picha za baadhi ya kina babu zangu why not agreeing makaburi yao yapo it's an evidence na yapo maeneo ya nyumbani.
Sasa ndugu story za kina Thales of Miletus (600 B. C), mvumbuzi wa umeme wa static electricity kama ulisomsa Physics zipo na alikuwepo huyo mtu, sembuse story ya yesu mnazaret ambaye alikuwepo juzi juzi before kina plato socrates ndo zipotee na uanze ku doubt, Yesu alikuwepo na ndo maana hata ktk reference ya miaka tunatumia A.D and B.C hiyo ni nje ya biblia, historia pia ina mtambua
 
They are all stories boss hamna ukweli mbona Kuna fiction nyingi zimeandikwa Kuna watu wanaamini ni kweli.
 
Dah ila watu wangejua maisha Yetu ni full logic. Na logic ndio inatusaidia kujua ukweli, kutatua matatizo, kuelewana, kuleta Sheria wangejifunza logic first believe later.

Mtu anayetumia logic ni ngumu mno kumdanganya tofauti na watumia Imani. Nadhani hizi stori za kwenye bibilia ni stori tu zimepita kwenye civilization mbalimbali bila kujua ukweli.
Dini ina nguvu zaidi ya logic kwa sababu dini inamuwahi mtu tangu akiwa mtoto mdogo kabisa. Anapoanza kupata akili ya kuchambua mambo logically tayari akili ishakua programmed na dini
 
Mkuu Yesu alikuja duniani. Hii ni kweli na wala hakuna wa kupinga. Hata kama uamini ndivyo ilivyo na itaendelea kuwa hivyo. Hayo tumeyaona na tumeshuhudia tulipoamini. Wewe pia ukimwamini hatakufanyia mambo ambayo utashangaa na utashuhudia na wengine. Nilimwamini nikiwa na miaka 18 na sasa nina miaka 64. Na katika maisha yangu nina ushuhuda mwingi sana kwa aliyonitendea, anayonitendea na atakayonitendea pia na mwisho atanipa uzima wa milele. By the way unajua kwamba Yesu ndiye mwenye vitu vyote. "Mimi (Yesu) ndiye nijia na kweli na uzima, hakuna atakayemwona Baba (Mungu) pasipo mimi. Ni kwa njia ya imani tu unaweza kumwona. Uwepo wake duniani ni kwa ajili ya kumkomboa mwanadamu ili aweze kunfahamu Mungu wa kweli. "Kwa maana Mungu aliupenda ulimwengu kiasi cha kumtoa Mwanae pekee, ili kila mtu amwaminiye asipotee, bali awe na uzima wa milele" Yohana 3:16.
Yeye (Yesu) ali kuwepo kabla Mungu hajaumba kitu cho chote. Yeye ndiye ali yeumba vitu vyote mbinguni na duniani; vitu vinavyoonekana na visivyoonekana; kama ni viti vya enzi au nguvu, au watawala au milki na mamlaka: vyote viliumbwa na yeye kwa ajili yake. (Wakolosai 1:15-16). Mwisho ni kwamba atarudi na atawapa uzima wa milele kwa wale wote waliomwamini na wanaendelea kufanya mapenzi yake. Ninakukaribisha kwa Yesu ndugu yangu hakika huwezi kujuta.
 
Dah na ndipo Imani inapo shinda watu. Almost asilimia kubwa ya watu wapo programmed, mtu akija kukua Imani still inaishinda logic even though our lives zinategemea logic kwenye mambo mbalimbali.
 
Mkuu Yesu alikuja duniani. Hii ni kweli na wala hakuna wa kupinga. Hata kama uamini ndivyo ilivyo na itaendelea kuwa hivyo. Hayo tumeyaona na tumeshuhudia tulipoamini. Wewe pia ukimwamini hatakufanyia mambo ambayo utashangaa na utashuhudia na wengine. Nilimwamini nikiwa na miaka 18 na sasa nina miaka 64. Na katika maisha yangu nina ushuhuda mwingi sana kwa aliyonitendea, anayonitendea na atakayonitendea pia na mwisho atanipa uzima wa milele. By the way unajua kwamba Yesu ndiye mwenye vitu vyote. "Mimi (Yesu) ndiye nijia na kweli na uzima, hakuna atakayemwona Baba (Mungu) pasipo mimi. Ni kwa njia ya imani tu unaweza kumwona. Uwepo wake duniani ni kwa ajili ya kumkomboa mwanadamu ili aweze kunfahamu Mungu wa kweli. "Kwa maana Mungu aliupenda ulimwengu kiasi cha kumtoa Mwanae pekee, ili kila mtu amwaminiye asipotee, bali awe na uzima wa milele" Yohana 3:16.
Yeye (Yesu) ali kuwepo kabla Mungu hajaumba kitu cho chote. Yeye ndiye ali yeumba vitu vyote mbinguni na duniani; vitu vinavyoonekana na visivyoonekana; kama ni viti vya enzi au nguvu, au watawala au milki na mamlaka: vyote viliumbwa na yeye kwa ajili yake. (Wakolosai 1:15-16). Mwisho ni kwamba atarudi na atawapa uzima wa milele kwa wale wote waliomwamini na wanaendelea kufanya mapenzi yake. Ninakukaribisha kwa Yesu ndugu yangu hakika huwezi kujuta.
Do you believe an imaginary friend in the sky can rape and impregnated a woman?
 
Mambo kwa ushahidi nadhani Kuna watu kama kina Kiranga humu ni wakongwe kuliko Mimi na wengine, wamewahi kuleta ushahidi mbalimbali humu hivi vitu ni stori.

Na ili ukweli ujulikane njoo na ushahidi, sio stori burden of proof ndicho kinachohitajika.
 
Back
Top Bottom