Davidmmarista
JF-Expert Member
- Apr 11, 2024
- 3,114
- 6,309
- Thread starter
- #61
Nani amewahi kushuhudia au tumewasoma tu kwenye historia. Maybe kwa ushahidi wa kihistoria wawezekana walikuwepo lakini nani ambaye anafahamu kama alikuwa mtu halisi au wa kufikirika?Kina socrates, plato, hawajawahi kuwepo?