Al-mukheef
JF-Expert Member
- Feb 2, 2025
- 8,442
- 10,464
Mimi ningependa kufahamu huyo mungu wako ni wa aina gani na ana tofauti gani na wa wengineImani yangu namfaham mwenyewe atheist haamini Chochote ila Mimi Nina Imani yangu
Mimi ningependa kufahamu huyo mungu wako ni wa aina gani na ana tofauti gani na wa wengineImani yangu namfaham mwenyewe atheist haamini Chochote ila Mimi Nina Imani yangu
Hivi ulishawahi ota ndoto ya kitu ambacho hakipo katika uhalisia?Vp nadharia kuhusu Alien, Shetani, Mapepo unaamini vipo?
I think Kuna muda we can even think of things that doesn't even exists, maana wanadamu tupo programmed na data na taarifa tulizonazo Kuna kweli na pia Kuna taarifa ambazo hazina ukweli.
Unapotengeneza taswira, Kuna non existence things may come.
Uelewa tatizo ndiyo maana nakuambia soma bibliaUtumwa ni kufata utamaduni wa wengine na kuacha wakwako. Huwezi kusema wewe ni mjukuu wa Adam na Hawa.
Biblia haijawahi kukuzungumzia hata kidogo. Wamewazungumzia vizazi vya Wayahudi kuanzia mababu zao huko. Sasa sijajua mimi nahusika vipi hadi nikisome maana sina hata nabii mmoja alietoka kwetu.Uelewa tatizo ndiyo maana nakuambia soma biblia
Kwa ufahamu wako unafikiri Kush ni watu wa jamii gani?Biblia haijawahi kukuzungumzia hata kidogo. Wamewazungumzia vizazi vya Wayahudi kuanzia mababu zao huko. Sasa sijajua mimi nahusika vipi hadi nikisome maana sina hata nabii mmoja alietoka kwetu.
Circular reasoning fallacyUelewa tatizo ndiyo maana nakuambia soma biblia
Kwanini tuna ota, ndoto ni nini?Hivi ulishawahi ota ndoto ya kitu ambacho hakipo katika uhalisia?
Asante kwa maelezo yako, na pia umezungumzia tupo programmed na data mbalimbali. Nivizuri kile mtu anachokisema kutokubaliana nacho moja kwa moja kwa maana yakuwa kinaweza kuwa kweli au si kweli. Ila pia ni vizuri kufanya tafiti binasfi na ukajirizisha kile kisemwacho, kuliko kuishi na fact za mtu mwingine wakati tuna uhuru wakufanya tafiti binafsi
Binadamu au mtu ndio muumbaji wa chochote unachokiona kwa maana yakutengeneza taswira na baadae kufanya udhiirisho wake.
Kuhusu viumbe hao, ulimwengu ni mkubwa. Na kama ni mkubwa na sisi tuko sehemu ya ukubwa huo kuna mahali ambapo hatupaoni na huenda kuna viumbe wengine kama sisi ambao hatuwaoni vile vile. Kama baharini samaki wajuavyo hivi ni viumbe vya majini na sisi tuajuavyo hivi ni viumbe vya nchi kavu.
Sifahamu wenye ushahidi walete hapa maana watu wanaleta stori tu hapakuna ushahidi wowote kuwa yesu hakuja duniani?
Je unamfaham ni kwanini unaweza kuwa na ndoto 4 hadi 6 kila usiku, hata kama huzikumbuki?Hivi ulishawahi ota ndoto ya kitu ambacho hakipo katika uhalisia?
Asante kwa maelezo yako, na pia umezungumzia tupo programmed na data mbalimbali. Nivizuri kile mtu anachokisema kutokubaliana nacho moja kwa moja kwa maana yakuwa kinaweza kuwa kweli au si kweli. Ila pia ni vizuri kufanya tafiti binasfi na ukajirizisha kile kisemwacho, kuliko kuishi na fact za mtu mwingine wakati tuna uhuru wakufanya tafiti binafsi
Binadamu au mtu ndio muumbaji wa chochote unachokiona kwa maana yakutengeneza taswira na baadae kufanya udhiirisho wake.
Kuhusu viumbe hao, ulimwengu ni mkubwa. Na kama ni mkubwa na sisi tuko sehemu ya ukubwa huo kuna mahali ambapo hatupaoni na huenda kuna viumbe wengine kama sisi ambao hatuwaoni vile vile. Kama baharini samaki wajuavyo hivi ni viumbe vya majini na sisi tuajuavyo hivi ni viumbe vya nchi kavu.
Haya yote yana ushahidi upi? Au sababu mmefundishwa ktk dini na biblia iko hivyo na mmeamua kuwaza hivyo?.Ni kwamba haitoshi kusema Yesu alikuja dunia, nikwamba Mungu mwenyewe alikuja kwa umbo la mwanadamu ili kusema naye kama ilivyokuwa desturi yake wakati wa Adam. Pia kujitoa kafara ili kumkomboa mwanadamu na mauti ya milele, kumbuka Mungu alitaka kujidhiirisha yeye ni muweza wa yote.
Mwanadamu aliumbwa ili uweza wa Mungu ujilikane kwa viumbe vingine (Malaika) kwa yeye ni Mungu wa haki na Mungu muweza wa yote. Shetani au Lucifer hakujua hili yaani baada ya kumkosesha mwanadamu alijua hakuna mwingine anayeza kumkomboa huyo mwanadamu hivyo Mungu kashindwa. Lakini hakujua Uweza wa Mungu namna game lilivyo badilika na mwanadamu akurudishwa kwenye utukufu wake kupitia Yesu kristo.
Mafalao waliishi zaidi ya miaka 5,000 kabla ya stories za yesu na Muhammad kuwepo lkn ushahidi wa uwepo wao upo mpaka leo hii, ila hao akina yesu wa miaka ya juzi tu hawana historia yoyote ya kuprove uwepo wao zaidi ya masimulizi ya vitisho ktk biblia, je huo ndio ushahidi?.Yesu (Issa),
Alikuwepo na alikuwa na uwezo wa kufanya yote ulliyotaja hapo:
MUNGU humpa mtume wake miujiza kutokana na zama aliyokuwwpo,
Issa(Yesu) alipita kipindi ambacho tasnia ya utabibu ilikua katika kiwango cha juu.
Hivyo ilikuonyesha upekee na kuwa na uwezo zaidi ya binadam wa kawaida MUNGU alimpa uwezo wa ziada.
Kwamfano kwa Nabii Mussa yeye alipewa uwezo mkubwa zaidi kuliko uchawi wa kawaida wa binadam.
🙏
Wewe umejuaje kama hiyo miaka 2000 pale Israel walikuwa ni waarabu? Ulikuwepo nyakati hizo?Haya yote yana ushahidi upi? Au sababu mmefundishwa ktk dini na biblia iko hivyo na mmeamua kuwaza hivyo?.
Hivi huyo Yesu na Mungu mnaweza kumuelezea kivyovyote vile nje ya biblia?.
Ukweli huwa haujifichi, kama yesu au dunia ingekuwa na Mungu mmoja basi kila tamaduni ingemuabudu ktk njia moja pasipo mikanganyiko, pia jamii zingeweza kumuelezea huyo Mungu bila ya kuhitaji kuelezewa wala kusimuliwa stories kutoka ktk vitabu, yaani mazingira tu yaliyosha kukupa uelewa wa unaemuabudu.
Yesu hajawai kuwepo ndiomaana hakuna ushahidi wa kihistoria wa uwepo wake, anaesema alikuwepo hana ushahidi zaidi ya kutumia biblia ambayo nayo haina ushahidi zaidi ya mikanganyiko.
Mnasema yesu alikuja dunian miaka 2000 iliyopita hapo Middle east lakn tukifuatilia kihistoria miaka hiyo hakukuwai kuwa na taifa la israel wala hiyo yerusalem haikuwa hivyo mnavyoambiwa ktk dini, zaidi zaidi ardhi hiyo ilikuwa milki ya waarabu, na wakoloni wa kizungu ambao leo hii wanajiita wayahudi.
Biblia na Quran ni vitabu vya uongo
Mbna unauliza swali lisilo na maana?, kukosekana kwa ushahidi wa kutokuja kwake ndo ushahidi wa kutokuja kwake unless uprove wrong kwa kuleta ushahidi kuwa alikuja.kuna ushahidi wowote kuwa yesu hakuja duniani?
Wewe mpuuzi kweli kweli; kama kweli kichwa yaki inafanya kazi swali hilo ungemuelekezea Muhammad kwanza ambaye hamna hata historical reference to him.Kuna stori hadi sasa nikisikia naona kama hazina utofauti na mere stories. A lot of story kama, yesu alitembea juu ya maji, kufufua wafu, 🤔still doesn't make sense....View attachment 3552988
Facts tunazo tunaofuata Kanuni. Kama unataka facts fuata Kanuni. Nakushangaa kwamba unataka kitu ambacho ili kitokee kina Kanuni zake halafu at the same time hutaki kuzifuata Kanuni hizo,my friend unachekesha!.Verify it hapa tunahitaji usilete story we need facts
Hivyo un stand upande gani, alikuwepo au hakuwepoWewe baada ya miaka 1000 ijayo ni ushahidi gani utaonyesha ulikuwepo?
Kama ni picha au video kizazi kijacho wanaweza kusema ni AI