Toa hoja mzee
Mkuu siku hizi huamini katika Mungu au?Toa hoja mzee
Naamini ila si huyu wa makanisani na msikitiniMkuu siku hizi huamini katika Mungu au?
Wewe unamwamini yupiNaamini ila si huyu wa makanisani na msikitini
The one whom automated lives.Wewe unamwamini yupi
Sema mkuu hujahisi ukakasi wowote wakati unaandika haya?? Ila acha tuendelee cause si tumeyapokea wenyewe.Ni kwamba haitoshi kusema Yesu alikuja dunia, nikwamba Mungu mwenyewe alikuja kwa umbo la mwanadamu ili kusema naye kama ilivyokuwa desturi yake wakati wa Adam. Pia kujitoa kafara ili kumkomboa mwanadamu na mauti ya milele, kumbuka Mungu alitaka kujidhiirisha yeye ni muweza wa yote.
Mwanadamu aliumbwa ili uweza wa Mungu ujilikane kwa viumbe vingine (Malaika) kwa yeye ni Mungu wa haki na Mungu muweza wa yote. Shetani au Lucifer hakujua hili yaani baada ya kumkosesha mwanadamu alijua hakuna mwingine anayeza kumkomboa huyo mwanadamu hivyo Mungu kashindwa. Lakini hakujua Uweza wa Mungu namna game lilivyo badilika na mwanadamu akurudishwa kwenye utukufu wake kupitia Yesu kristo.
Ni ngumu kuelewa kama husomi biblia na kuelewa ujumbe uliomo.Sema mkuu hujahisi ukakasi wowote wakati unaandika haya?? Ila acha tuendelee cause si tumeyapokea wenyewe.
Sayansi inataka evidence Kwanza ndipo ifuate IMANI. Yesu anataka umwamini kwanza ndipo ajidhihirishe(akupe evidence ya uwepo wake). Kila Jambo lina Kanuni zake.Kuna stori hadi sasa nikisikia naona kama hazina utofauti na mere stories. A lot of story kama, yesu alitembea juu ya maji, kufufua wafu, 🤔still doesn't make sense....View attachment 3552988
Sasa wewe uliesoma si ungeleta tu jibuSoma biblia utaelewa yote yanayo kusibu. Anzia kitabu cha mwanzo
Still hamna aliyepinga but we need something that has an evidence. Bado tupo kwenye stori tu, yaani kwakuwa may be ulisikia kuhusu stori za vibwengo utataka kila mtu aamini kuwa vilikuwepo.Sasa mkuu kama unapinga labda wewe ndiyo utoe ushahidi kwamba hakuwepo kwa sababu zako unazozijua wewe. Sababu hata kwenye sayansi ukipinga theory ya mtu lazima utoe sababu.
Katika hizo unazoziita nadharia,ambazo zinamitazamo tofauti hakuna inayopinga kabisa kwamba Yesu au Muhammad[samahani kama nmekosea herufi] hawakuwepo bali zinatofautiana tu baadhi ya point.
Labda wewe kutoka Njombe huko unaweza kuja na nadharia yako wapo watakuelewa watakufuata kwa kutumia references unazozijua wewe
Tupe ushahidi boss sio storiUpo ushahidi
Ukiamini kwanza kabla ya uthibitisho hiyo sio illusion kweli?Sayansi inataka evidence Kwanza ndipo ifuate IMANI. Yesu anataka umwamini kwanza ndipo ajidhihirishe(akupe evidence ya uwepo wake). Kila Jambo lina Kanuni zake.
USICHANGANYE MAFAILI
Kila dini ili ikukamate lazima uamini. Hata kwenye utapeli mara nyingi kinachoponza watu ni uaminifu. So how can you believe something you can't verify unabaki kusema Imani ndio kila kitu, amini kwanza uone 🤔🤔Sayansi inataka evidence Kwanza ndipo ifuate IMANI. Yesu anataka umwamini kwanza ndipo ajidhihirishe(akupe evidence ya uwepo wake). Kila Jambo lina Kanuni zake.
USICHANGANYE MAFAILI
Dah ila watu wangejua maisha Yetu ni full logic. Na logic ndio inatusaidia kujua ukweli, kutatua matatizo, kuelewana, kuleta Sheria wangejifunza logic first believe later.Masuala ya dini ni imani, kwaiyo ni suala la kuamini au kuachana nayo. Sio Yesu tu, mambo mengi hayana uthibitisho. Hata ile ghalika wakati wa Noah, hakuna ushaidi wa kifizikia au jografia unaoonyesha kwamba kuna mafuriko yalishawahi kutokea dunia nzima
Kubadilisha fikra za muumini au kumtaka atumie logic sio rahisi. Linapokuja suala la dini mpaka maprofesa wanaamini zile story za eagle, donkey na nyoka wanaoongea kwenye biblia ni za kweli.
Bro they are all stories. Hamna fact hapa kila dini Ina la kwake hata kwa wenzetu wahindi ukipewa stori za sanamu wanazojenga pengine wanahisi Kuna kitu Cha tofauti wakiomba vilevile wazee watu waliokuwa wakiomba miti walihisi ila hamna ushahidi zaidi ya hisia na Imani.Yesu (Issa),
Alikuwepo na alikuwa na uwezo wa kufanya yote ulliyotaja hapo:
MUNGU humpa mtume wake miujiza kutokana na zama aliyokuwwpo,
Issa(Yesu) alipita kipindi ambacho tasnia ya utabibu ilikua katika kiwango cha juu.
Hivyo ilikuonyesha upekee na kuwa na uwezo zaidi ya binadam wa kawaida MUNGU alimpa uwezo wa ziada.
Kwamfano kwa Nabii Mussa yeye alipewa uwezo mkubwa zaidi kuliko uchawi wa kawaida wa binadam.
🙏