Hivi kuna uwezekano kati ya mwanamke na mwanaume kupanga nyumba moja bila kuwa na mahusiano?

Hivi kuna uwezekano kati ya mwanamke na mwanaume kupanga nyumba moja bila kuwa na mahusiano?

Wazungu wanaweza,ila ngoz nyeus n ngumu,wazungu huweza Kuja kutalii huku marafik ambao n jinsia tofaut na wakarud bila kulana........Kuna kaka angu alimla demu kutokana na vyumba vyao kuwa Karbu na vilkuwa havjakazwa huu,walkuwa wanapga story mpaka usku na wakienda kulala bado wanaendelea kupga story kila mtu akiwa ktandan kwake,sku moja huyo madam uzalendo ulimshnda alichofanya nkumuulza jamaa kama anazo kondom ,Bahat nzur jamaa alkuwa nazo,kilchofata n kula tunda kmamasihara
jamani jamani....ule uzi pendwa nadhani watu wanataka kuufufua...
 
@Mods kuna kitu mmenifutia pale mwanzo kabisa kwa uzi...but it’s okay ngoja niilete hapa.

Wapendwa nilifungua huu uzi kutokana na comment niliyoiona kwa Mnyakipyua kwenye uzi wa Miss Natafuta alioufungua leo...
Kwamba huyo mkuu👆Juu aliingia kwenye kutokuelewana na girl 👧 wake baada ya huyo girl wake kufikiri kuwa miss natafuta na huyo mtu hapo juu wanafahamiana.

Nafikiri walikuwa wakitaniana (kwa mujibu wa comment niliyoisoma Kwenye huo uzi) kuhusu kupanga nyumba moja..
Naomba nirudie tena...kwa mujibu wa comment walikuwa wanataniana..nisinukuliwe vibaya katika hili..

So ikabidi nifungue huu uzi kupata maoni tofauti tofauti kuona kama hii kitu inawezekana bila ya kuwa na madhara 😅😅
Comment zenu zimeniacha hoi aiseh🤣🤣

Kwanini nimeyasema haya.,,,ni baada ya baadhi ya watu kunifuata pm kuniuliza kama ni kweli niko kwenye mpango huo.
Jibu ni hapana sina huo mpango kabisa kwa sasa wala baadae na wala sifikirii.

So huu uzi hauusiki na mimi kwa %yoyote.
Natumai nimeeleweka katika hilo.

Ninaomba radhi kwa wahusika hapo juu niliowatag kama nitawakwaza kwa namna moja ama nyingine.

Cheers 🥂 guys....
 
Back
Top Bottom