Hivi kuna uwezekano kati ya mwanamke na mwanaume kupanga nyumba moja bila kuwa na mahusiano?

jamani jamani....ule uzi pendwa nadhani watu wanataka kuufufua...
 
@Mods kuna kitu mmenifutia pale mwanzo kabisa kwa uzi...but it’s okay ngoja niilete hapa.

Wapendwa nilifungua huu uzi kutokana na comment niliyoiona kwa Mnyakipyua kwenye uzi wa Miss Natafuta alioufungua leo...
Kwamba huyo mkuuπŸ‘†Juu aliingia kwenye kutokuelewana na girl πŸ‘§ wake baada ya huyo girl wake kufikiri kuwa miss natafuta na huyo mtu hapo juu wanafahamiana.

Nafikiri walikuwa wakitaniana (kwa mujibu wa comment niliyoisoma Kwenye huo uzi) kuhusu kupanga nyumba moja..
Naomba nirudie tena...kwa mujibu wa comment walikuwa wanataniana..nisinukuliwe vibaya katika hili..

So ikabidi nifungue huu uzi kupata maoni tofauti tofauti kuona kama hii kitu inawezekana bila ya kuwa na madhara πŸ˜…πŸ˜…
Comment zenu zimeniacha hoi aiseh🀣🀣

Kwanini nimeyasema haya.,,,ni baada ya baadhi ya watu kunifuata pm kuniuliza kama ni kweli niko kwenye mpango huo.
Jibu ni hapana sina huo mpango kabisa kwa sasa wala baadae na wala sifikirii.

So huu uzi hauusiki na mimi kwa %yoyote.
Natumai nimeeleweka katika hilo.

Ninaomba radhi kwa wahusika hapo juu niliowatag kama nitawakwaza kwa namna moja ama nyingine.

Cheers πŸ₯‚ guys....
 
Si ndo hapo sasa...watu sijui Kwanini wanakuwa hivi jamani 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣kukatishana tamaa tuu
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…