SAYVILLE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 7,895
- 12,975
Hili swali ni muhimu kwangu, naomba majibu yanayojitosheleza.
Katika taratibu za nchi na za kimataifa, inawezekana kwa mtu kuwa na identity zaidi ya moja?
Huko nyuma kuna watu mfano waandishi wa vitabu walitumia 'fake names' katika baadhi ya machapishi yao kutokana na sababu mbalimbali ili kuficha identities zao za kweli. Mfano, inasemekana Shakespeare ilikuwa ni identity fake ya mtu mwingine.
Pia Benjamin Franklin, mmoja wa waanzilishi wa taifa la Marekani alichukua jina la Poor Richard katika baadhi ya maandishi yake.
Swali langu linakuja, je inakubalika kisheria kuwa na majina zaidi ya moja na yote yakatambulika kisheria kuwa ni yako?