Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,340
- 4,659
tunafahamu kuwa ujamaa ni mfumo bora ambao ndani yake kuna baraka kubwa kutoka kwa mungu,kawaida mungu hutaka watu wake wajumuike ili kumuabudu na kumsifu kwa pamoja,kuishi,kumiliki na hata kufa na kuzikana kwa pamoja,lakini naweza kusema ujamaa ni mfumo wa mbinu/mchakato katika kujenga ubepari endelevu.
kama tunavyoshuhudia afrika watu wanajenga misikiti,makanisa,kuabudu,kusaidiana n.k lakini kwa upande mwengine ujamaa ni mfumo katika umiliki wa mali communal owneship,labda niulize hili jambo lingewezekana?
serikali kumiliki kila kitu?sitaki kutolea ujamaa wa china ambao ndani yake kuna ubepari.
kwa ongezeko la watu serikali ingeweza kumudu huduma za kijamii na uchumi?
nafasi za viongozi wa kiafrika walikuwa na fikra gani juu ya ujamaa?walipima hili jambo la kuongezeka kwa watu na nafasi/kiwango cha rasilimali?
kwa ujamaa tungetoboa?