ummtotomlito
JF-Expert Member
- Aug 30, 2014
- 535
- 644
Mm mbona nipo Karakatonga Tarime Vijijini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakati naijua jf nilikuwa moshi vijijini, lakini kwa vijiji unavyomaanisha watakuwepo ila wameijulia mjini au vyuoni na kuna vijiji wanashindwa kutumia sababu ya network lowNimekuwa najiuliza hili swali.maana me naamini sisi sote tunaishi mijini hasa majiji dar na labda katika miji mikuu ya mikoa.kwa kuangalia threads za wengi naona wengi wajanja wote Wana misemo ya kimjini mjini.sifikirii Kama Kuna yoyote ambaye yupo ndani ndani bush kabisa.
Halafu nakujua wewRombo-Mamsera
Mshana, achana na Msata kilingeni cha Pwani, vijiji viko bara. Kuna vijiji unaenda kwanza kwa gari mpaka linapoishia, unapanda bodaboda mpaka inapoishia halafu unakwenda kwa mguu!Msata kilingeni
😂😂😂😂hayo majina tu yanadhihirishaMimi naishi huku Ushirombo, Kata ya Katente, tarafa cha Lyambamgongo, kijiji cha Nzela
Ndipo members wanapaswa wajue kwamba wengine tunaishi huku matakoni mwa inch[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hayo majina tu yanadhihirisha