Hivi kuna wanachama wa JF wanaoishi vijijini?

Hivi kuna wanachama wa JF wanaoishi vijijini?

Mkuu kuna kipindi nilikuwa natoka kiriki uku chini karibu na ziwa jipe napandisha mpaka ndorwe kufata mpunga

Tumbo mwana haramu sana
Ah ah ah ah sasa mim natelemka kutoka ndorwe mpaka nyika na nikipanda na panda na kigunia cha mahindi kg 25 pemben nna jembe

Acha kabisa
 
Back
Top Bottom