Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
upo maeneo gani mkuuNipo mkuu nipo huku Kigonsera
Vipi barabara zinapitika nataka nilete gari languUnakusikia Umalila huku mwakalali? Basi ndiko niliko ukilikosa gar saa6 mchana pale 8/8 Mbeya mjini usubir mpaka kesho tena. Ni bush hatar saa6 unaondoka mjini SAA 1 jion unafika kwetu
kuna kijiji kunaitwa hivyo pia hayo c majina tu nkuumtipwesh siyo msumbiji kweli mzazi
Mwamapalala sio mbari na mjini bnana karibu malamboMi nipo Bariadi mwapalala
Sawa nimekaribiaMwamapalala sio mbari na mjini bnana karibu malambo
Karibu sanaSawa nimekaribia
Naona umechelewa kuwah siti yakoNipo Porini sana kuliko mwanachama yeyote humu.
Hapana siku nikiwa sina majukumu nafanya kazi humu ila nikianza majukumu ni ngumu kupata nafasi ya kupita humu.Naona umechelewa kuwah siti yako
Ok Pole Sana mkuuHapana siku nikiwa sina majukumu nafanya kazi humu ila nikianza majukumu ni ngumu kupata nafasi ya kupita humu.
Oh.Mimi natokea Misri jirani na wewe.inaweza kuwa tunafahamianaMbona mm nipo Kishinda huku Geita vijijini.