Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Hahaha, Niko behewa ,Kilosa kwa ShayoLeo wengi tuko vijijini[emoji23] [emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha, Niko behewa ,Kilosa kwa ShayoLeo wengi tuko vijijini[emoji23] [emoji23]
Hahhahhahaha usijaliNaweka dau na mie, maana ukimfonya mtu hatakama yupo offline lazima kiroho kimshtuke huko alipo... Noma [emoji25]
Sijamwambia mm katukututa wenyewe tunabebishana anamwambia kudo eti si unaona ana babe mpya[emoji23] [emoji23] [emoji23] hujamwambia umepata new babe
Hahaha aisee basi afe na roho yake mkuu .. Daah mi kila nafanya kwa masihara kuanzia nikiamka nikishika mswaki nikiweka dawa ... Nkienda baed ... Yaan ni masihara tuu hata kulala ... Kimasihara hata dear nlmpata kimasihara ... Yaan mm ni masihara ... Nahis ntakufa kimasi hara masihara mara paaap nipo mbingun .... Hata hapa naongea kimasihara ...sijawah kuwa serious ... Kuna paper enzi nasoma nlpata 101 .. Nkamchorea katun teacher nyuma ya karatas akachukua 101 akatoa 100 nkapata 1 kimasihara ... Siajawah kuwa serious ...Kuna watu wengine hawapendi matani kabisa ujue
Tuko pamojaHahaha aisee basi afe na roho yake mkuu .. Daah mi kila nafanya kwa masihara kuanzia nikiamka nikishika mswaki nikiweka dawa ... Nkienda baed ... Yaan ni masihara tuu hata kulala ... Kimasihara hata dear nlmpata kimasihara ... Yaan mm ni masihara ... Nahis ntakufa kimasi hara masihara mara paaap nipo mbingun .... Hata hapa naongea kimasihara ...sijawah kuwa serious ... Kuna paper enzi nasoma nlpata 101 .. Nkamchorea katun teacher nyuma ya karatas akachukua 101 akatoa 100 nkapata 1 kimasihara ... Siajawah kuwa serious ...
Dada akeWengi tu tuko bush
Mi niko murongo/kikagati
Sometimes nakuwaga Rubambangwe
AbeeeDada ake
NakusalimiaAbeee
Upo Murongo? Wasalimie sana huko, ile milima ina vitu vya maana sana. Nitakuja Kyerwa niwasalimie watu wa BK, sema tu waambie waache kaubaguzi kwa sisi tusio na lafudhi yao bwanaWengi tu tuko bush
Mi niko murongo/kikagati
Sometimes nakuwaga Rubambangwe
Karibu sanaUpo Murongo? Wasalimie sana huko, ile milima ina vitu vya maana sana. Nitakuja Kyerwa niwasalimie watu wa BK, sema tu waambie waache kaubaguzi kwa sisi tusio na lafudhi yao bwana
Nimekaa sana hii mitaa hapa pana soko flani wanauza ndizi na mbuzi na kuku, kipindi hicho barabara ya lami ikiwa ina tengenezwaRombo-Mamsera
Nawe piaAsante ubarikiwe ndugu yangu
Usiku mzuri kwako