Uhakiki
JF-Expert Member
- May 18, 2017
- 7,288
- 7,704
Nipo Ikubulu mkuu [emoji23] [emoji23] [emoji23]Jina nalotumia JF linasadifu nilipo acha mtandao wa shida hapa kuna wakati napata tabu sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipo Ikubulu mkuu [emoji23] [emoji23] [emoji23]Jina nalotumia JF linasadifu nilipo acha mtandao wa shida hapa kuna wakati napata tabu sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Haya banaNipo Ikubulu mkuu [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]juzi nilikuwa Kalilani[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Haya bana
KumbeeeWengi tu tuko bush
Mi niko murongo/kikagati
Sometimes nakuwaga Rubambangwe
nan kakwambia mtipweshi ni mtwara ndan ndanmi mbona nakaa mtipweshi huku ntwara ndanindani
ndo kwetu uko karibia na nakapanya au we unasemea ya wapi??nan kakwambia mtipweshi ni mtwara ndan ndan
mtipwesh siyo msumbiji kweli mzazindo kwetu uko karibia na nakapanya au we unasemea ya wapi??
Nipo Zombo mkuuMimi nipo kijijini ila panaitwa ulaya ni kilosa mkoani morogoro. Mimi ndo mjanja wao huku. Nikienda dar nafikiaga kwa shemeji yangu nalala sebuleni kwenye makochi,naangalia TV usiku kucha.
haa wewe mbona huko ni kwetu wape hai nyumbaniRombo-Mamsera
Kijiji gani hicho watu hujiita cute bMimi hapa mkuu nipo bush ndani ndani huku kabisa. Sema ujanja huwa tunaupataga tukienda chuo mjini huko. Tukirudi ndiyo kama hivi unatuona wajanja.
Umeme umefika huko?Nipo Porini sana kuliko mwanachama yeyote humu.
Naam! REA.Umeme umefika huko?
Mwanga huko nasikia kuna shida ya maji sanaNipo Wilaya ya mwanga kijiji cha ndorwe
[emoji23] [emoji23] sawaRombo-Mamsera