Hivi kuna wanachama wa JF wanaoishi vijijini?

Wakati naijua jf nilikuwa moshi vijijini, lakini kwa vijiji unavyomaanisha watakuwepo ila wameijulia mjini au vyuoni na kuna vijiji wanashindwa kutumia sababu ya network low
 
Walio wengi wapo mijini, lakini wapo pia ambao baada ya kukaa mjini wamerudi vijijini. Wa vijijini kabisa bila kuishi japo kidogo mjini sidhani kama wapo na kama wapo basi inategemea tunaposema kijiji tuna maana kijiji cha namna gani!
 
Msata kilingeni
Mshana, achana na Msata kilingeni cha Pwani, vijiji viko bara. Kuna vijiji unaenda kwanza kwa gari mpaka linapoishia, unapanda bodaboda mpaka inapoishia halafu unakwenda kwa mguu!
 
Mi nipo chaka moja hvi tunduru kunaitwa wenje,,msumbiji ndio majirani zetu
 
Me mbona niko chimbo huku, ila nahisi kijiji chote pekee ndo naijua na kutumia JF
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…