Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,758
- 26,885
Tupo mzee babaNimekuwa najiuliza hili swali.maana me naamini sisi sote tunaishi mijini hasa majiji dar na labda katika miji mikuu ya mikoa.kwa kuangalia threads za wengi naona wengi wajanja wote Wana misemo ya kimjini mjini.sifikirii Kama Kuna yoyote ambaye yupo ndani ndani bush kabisa.
Mkuu huku ni ushetu mkuuKinamapula si ilishakua mtaa sio kijiji tena? Au huko mji wa Kahama haufiki?
Mkuu huku ni ushetu mkuu
Kesho tukutane Babylon Mkuu ,tuyajengeDah ukenikumbusha sana nyumbani
Usijali mkuuKesho tukutane Babylon Mkuu ,tuyajenge
Mimi unanipita hapa ndanda.Nipo Wilaya ya mwanga kijiji cha ndorwe
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umalila mwakaleli[emoji124] [emoji124]Unakusikia Umalila huku mwakalali? Basi ndiko niliko ukilikosa gar saa6 mchana pale 8/8 Mbeya mjini usubir mpaka kesho tena. Ni bush hatar saa6 unaondoka mjini SAA 1 jion unafika kwetu
ShikamooMm mmoja wapo mkuu nipo huku nanjilinji kwetu
MfyuuuuShikamoo
Hatujakuuliza mkuu una kihere kuzid spid ya mwangaUnakusikia Umalila huku mwakalali? Basi ndiko niliko ukilikosa gar saa6 mchana pale 8/8 Mbeya mjini usubir mpaka kesho tena. Ni bush hatar saa6 unaondoka mjini SAA 1 jion unafika kwetu
Trump ameshakutafuta ... Nilimpa namba yako jana nlivyoenda kuroga white house ... Kumbe naye mwenzetuMsata kilingeni
Huu mfonyo unatakiwa uingizwe katika kamusi ya kiswahili, nimeukubaliMfyuuuu
Ebu uko
Hujaniuliza na nani?Hatujakuuliza mkuu una kihere kuzid spid ya mwanga