Hivi kuna wanachama wa JF wanaoishi vijijini?

Hivi kuna wanachama wa JF wanaoishi vijijini?

Nimekuwa najiuliza hili swali.maana me naamini sisi sote tunaishi mijini hasa majiji dar na labda katika miji mikuu ya mikoa.kwa kuangalia threads za wengi naona wengi wajanja wote Wana misemo ya kimjini mjini.sifikirii Kama Kuna yoyote ambaye yupo ndani ndani bush kabisa.
Tupo mzee baba
 
jf raha sana ......leo wote mnaishi vijijini

kesho wote mtasema mnsishi mjini hasa dar

keshokutwa wote mtasema mpo nje ya nchi.....

Na humu wote tupo fresh kimaisha hamna njaa kali .

Jf isife ....iendelee kudumu maana raha za humu hazipo mahali popote
 
Unakusikia Umalila huku mwakalali? Basi ndiko niliko ukilikosa gar saa6 mchana pale 8/8 Mbeya mjini usubir mpaka kesho tena. Ni bush hatar saa6 unaondoka mjini SAA 1 jion unafika kwetu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umalila mwakaleli[emoji124] [emoji124]
 
Mimi nilipo ukifika mwanza unapanda magari ya kwenda sengerema ukifika unabadilisha unapanda magari ya kwenda nyehunge ukifika nyehunge chukua boda kwenda kayenze ukifa kayenze chukua daladala ya baiskel mpk lumeya badae tembea kidogo utanipa kijiji cha misiri[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
 
Back
Top Bottom