Hivi kuna wanandoa ambao hawachepuki kabisa?

Poker

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2016
Posts
5,445
Reaction score
14,828
Hivi katika ndoa kuna mwandoa ambaye hachepuki kabisa yani unakuta mume na mke wote wametulia tuli!
20220528_103128.jpg
20220528_104514.jpg
 
Dawa ya kuondokana na utumwa wa dhambi, ni kumpa Bwana Yesu maisha yako kwa maana ya kupokea wokovu. Tunapompa Yesu maisha yetu kwa maana ya kuzaliwa mara ya pili tunapokea nguvu ya ki-Ungu yenye uwezo wa kuutiisha mwili. Yaani tunakuwa hatuongozwi na mwili bali na roho/Roho. Usisahau kuwa kamwe hatuotoweza kuzitimiza tamaa za mwili, ndio maana unaweza kuta mtu anazini na watu hata wanne kwa siku na bado tamaa iko pale pale.

Kwa Yesu kuna raha sana. Mimi ni shuhuda.

JESUS IS SAVIOR
 
Kwan umetokea wapi tena jamani!
 
Walokole mnaongoza kwa uzinzi mnajidai mnapendana sana suala la kupeana uroda nnaona kawaida wakati wengine wapo kwenye ndoa.
 
Naona umeona umchane!
 
Back
Top Bottom