bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,350
- 25,180
Ujapigwa njaa bado
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata vikampuni vingi vinafanya uprofeshino machinga tuApart from Wakulima na wafanyabiashara wachache sana Tanzania nani sio Machinga au Dalali
Hata Serikali imegeuka kuwa madalaliHata vikampuni vingi vinafanya uprofeshino machinga tu
Ulimaliza chuo mwaka gani?Aisee nakubali kaka ngoja tupambane sasa
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Hapo mwisho sasaa...!Pana tajiri mkubwa Nigeria akiwa na masters yake Toka UK baada ya kukosa kazi na kodi alijihifadhi kibanda Cha msukuma mkokoteni akisaidiwa chakula na makazi urafiki wao walikutana pombeni baada ya jamaa kupigwa maisha.
Hakuna jinsi jamaa wa masters ikabidi ajichanganye akasukume mkokoteni Hana jinsi ashatembeza sana bashasha Lagos lakini hola.
Akawa anasukuma mkokoteni akajifunza saving kula robo kutunza robo tatu akiweka kwenye kibuku baada ya miaka 2 akavunja akutegemea pesa alivyokuwa ni nyingi Akafungua biashara ya duka kwa sababu ya uzoefu wa kubeba mizigo ya madukani.
Mtaji ukakua kwa sababu aliwahi ishi UK akatafuta connection akaanza kuexport UK na kumport Nigeria Akafungua biashara UK na Nigeria akafanikiwa sana pia ni motivation speaker na mwandishi wa vitabu vya mafanikio pia.
So endelea kuogopa watu utanunua sabuni kwa cheti.
Ulisukuma cargo mkoa gani?Kwenye kutafuta pesa usijali wengine wanakuchukuliaje wewe focus kwenye kile unachokitaka achana na walimwengu.
Mimi nilishawahi kutembeza door to door dagaa wa kukaanga tena makusudi naanzia kwenye mitaa ninayoishi wala sikujali nani ataongea nini wala kunionaje