Hivi kuna wanaofanyabiashara ya Umachinga wenye Degree pale Mbezi Mwisho?

Hivi kuna wanaofanyabiashara ya Umachinga wenye Degree pale Mbezi Mwisho?

Mtaani mtu unafanya mambo ambayo hata ukawazaga uja kuyafanya.

Ili life lisonge,lazimanujitoe akili.
 
Usicheke mkuu! Ombea yasikukute haya watu wanaokusimulia
Sicheki mkuu,, nakushangaa tu na degree yako nzuri ya accounting unataka ukawe machinga mbezi mwisho 😃😃 ( am kidding)....pambana bhana watu ndo tuko hivihivi hatuelewekagi usituonee aibu 😃😃
 
Pambana dogo, wenzio tulishasahau hata kama tuliwahi kuwa wanafunzi wa Dr Bashiru hapo UDSM[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Tunapiga deal za darasa la Saba yetu yanakwenda
Sawa mkuu ngoja nikajichanganye na darasa la saba
 
Sicheki mkuu,, nakushangaa tu na degree yako nzuri ya accounting unataka ukawe machinga mbezi mwisho [emoji2][emoji2] ( am kidding)....pambana bhana watu ndo tuko hivihivi hatuelewekagi usituonee aibu [emoji2][emoji2]
Sawa mje mniungishe sasa
 
Mkuu mm sikushauri ufanye hivyo unavyowaza km nafsi yako haitaki tafuta ujuzi than practise utaishi na kufanya kazi kwa amani na kupata riziki.

Mfano:
1. Ushonaji than fungua frem Shona nguo za watu utapata riziki mkuu nina rafiki yangu kiumri sawa na Baba yangu ila analisha familia na anasomesha.

2. Ufundi wa magari jifunze pia utapata riziki kupitia geregi mechanical au umeme hapa nina rafiki wa bro baada ya kufilisika aliingia huku na anaishi .

3. Ufundi ujenzi base sehemu mfano Fundi rangi, Kupaua na Kuweka gypsum ama ujenzi tofali na tiles.

4. Fundi simu
Jifunze tafuta rafiki anayejua mwambie akufundishe nina rafiki yangu anafanya hiii nimehitimu nae Chuo na alikuwa hajui lolote ila sasa haangaiki na kodi wala chakula.

Wengine watamalizia ujuzi mara nyingi ndio msingi wako.


Hizo kazi za umachinga waachie wengine mimi binafsi siwezi. Fanya kile roho yako itakuwa na amani na itakupa uhuru wa nafsi. Kumbuka kutafuta ni ibada.
 
Back
Top Bottom