Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
B.comm in accounting.Accounting mkuu
B.comm in accountingAccounting mkuu
Ulisoma kozi gani UDSMUtoto unakusumbua mm nafanya kazi zote nabeba zege ...Nalima bustani...Nabeba maji kwenye madumu. Nasaidia fundi...Kibarua chochote halali nafanya. Hapa nilipo nina degree ya upper second class with honour.
Nilipata 2 ya 10 pcb form six ifunda tech. Nilipata division one form four ...Na kama iyo haitosh nilipata a hesabu form four..Ety unaona aibu ivi ni hadithi unaleta au uhalisia ..Nb...Na miaka mi4 ...Mtaani toka nimalize udsm
Uko sahihiLengo la swali langu hili ni kupata company kutoka kwa hawa wamachinga wa mbezi maana nami ninampango wa kufungua meza yangu ya biashara hapo mbezi mwisho. Nilishapata eneo na nimeongea na mmiliki na amenipa hadi details za ushuru ili niweze kufanya biashara yangu mpya kama mmchinga.
Ndio mkuu UDSMB.comm in accounting.
Aisee nakubali kaka ngoja tupambane sasaNimesoma. ARDHI UNI. Hapo jirani yakoo mzeee , isitoshe kukuambia kuwaa maisha ni the way unavyoishi....mzee.....weeee mbananaaa vya kutoshaa ili mradu mkono uende kinywani
Me nimeshakubali hali ya maisha kwa sasa haina haja ya aibu maana umasikini ni aibu zaidi. Asante sana kwa ushauri mkuu [emoji1488]Uko sahihi
Wengi wanaosema wanaosema achana na degree ukapige kazi hawajui uzito wa degree na kazi yake
Sasa jipange uingie mtaani, huko degree zipo nyingi tu zaidi jipige kifua piga umachinga
Kabisa mkuu! Nimeshaweka aibu pembeni ni kupambana sasaUmasikini unauma zaidi ya hiyo aibu. Tafuta pesa mana pesa haimjui mwenye digrii au asiye na elimu cha msingi inamjua anayeitafuta katika mazingira yoyote.
Kutafuta ujuzi inanibidi nirudi tena chuo na huko ni gharama ambazo kwa upande wangu nitashindwa kuzimudu.Ila km bado upo home na haujapanga,kunafursa ya kusoma ili ujiajiri ya dtb bank kitu km icho chagua coz moja usome alafu Zama kitaa na ujuzi mwingine,Mimi nimemaliza na degree ya accountacy ifm pale,sijapata ajira mpaka Leo Yani nimeniajiri mwaka wa tano sahiz Kuna Mambo nimefanikisha kwa upande wangu ni makubwa kulingana na jinsi nilivyopambana Ila ukweli kutumia mtaji na kuundeleza inahitaji roho ya paka,simaanishi utashidwa hapana Ila inabidi ujikatae Ila ukitumia ujuzi mtaani hutateseka kwa mfano ufundi umeme
Una muda gan street?Kutafuta ujuzi inanibidi nirudi tena chuo na huko ni gharama ambazo kwa upande wangu nitashindwa kuzimudu.
Hivo option niliyokuwa nayo kipindi hiki ni hii biashara ya umachinga.. ndio tumaini langu la mwisho maana mtaji tayari ninao.
Kwasasa nimeshaamua kuanza kujikataa mwenye ngoja niende nikajichanganye na darasa la saba mkuu
Asante sana kwa ushauri mkuu [emoji1488]
Ni bure 100%Kutafuta ujuzi inanibidi nirudi tena chuo na huko ni gharama ambazo kwa upande wangu nitashindwa kuzimudu.
Hivo option niliyokuwa nayo kipindi hiki ni hii biashara ya umachinga.. ndio tumaini langu la mwisho maana mtaji tayari ninao.
Kwasasa nimeshaamua kuanza kujikataa mwenye ngoja niende nikajichanganye na darasa la saba mkuu
Asante sana kwa ushauri mkuu [emoji1488]
Kipindi chote niko mtaani. Nilikuwa nachanganya street na shule!Una muda gan street?