Hivi kuna wanaofanyabiashara ya Umachinga wenye Degree pale Mbezi Mwisho?

Lengo la swali langu hili ni kupata company kutoka kwa hawa wamachinga wa mbezi maana nami ninampango wa kufungua meza yangu ya biashara hapo mbezi mwisho. Nilishapata eneo na nimeongea na mmiliki na amenipa hadi details za ushuru ili niweze kufanya biashara yangu mpya kama mmchinga.

Ok anyway mnajuwa kabisa kuna ile hali ambayo waswahili wanasema kuona aibu. Yes kabla ya kufikilia hili wazo langu nimekuwa muoga na mtu wa aibu hasa nikitaka kujaribu biashara ya umachinga. Huwa nafikiria sana nikiwepo pale mbezi na meza yangu ya biashara halafu ukicheki pale kuna mkusanyiko mkubwa wa watu, baadhi ya watu wanaonifahamu ni rahisi kukutana nao pale mbezi, sasa hofu yangu ni kwamba nitawaambia nini pindi wakiniona nimekuwa mmchinga na hii degree yangu??

Ila hili wazo nimepotezea kutokana na hali yangu ya kiuchumi na biashara yangu ya mara ya kwanza kukumbana na changamoto za kukosa wateja, maana hapa nilipo hakuna mkusanyiko mkubwa wa watu ukilinganisha na mbezi.

Hivo nimekuja mbele yenu mnipe courage (ujasiri) namna ya kuhimili hili wazo langu la biashara ya umachinga ukiachilia mbali degree niliokuwa nayo ili nisione aibu na nisijihisi niko pekee yangu tunaopitia hii hali ngumu ya kiuchumi hasa wale degree holder ambao tumeamua au wameshaanza kufanya biashara ya umachinga

#Natanguliza_shukurani_wakuuView attachment 2695481
Bro piga Kazi, achana na watu , cha muhimu Pesaro, tumia degree yahoo vizuri hapo mbezi mwisho
 
utoto unakusumbua mm nafanya kazi zote nabeba zege ...nalima bustani...nabeba maji kwenye madumu.....nasaidia fundi...kibarua chochote halali nafanya .....hapa nilipo nina degree ya upper second class with honour....nilipata 2 ya 10 pcb form six ifunda tech.....nilipata division one form four ...na kama iyo haitosh nilipata A hesabu form four..ety unaona aibu ivi ni hadithi unaleta au uhalisia ..nb...na miaka mi4 ...mtaani toka nimalize UDSM
UDSM ulipga kozi gani?
 
Huwa nawaambia watu kuwa kazi ni ngumu kupata, ila shughuli za kufanya zipo mpaka kiyama kitakapokuja!!!!!!!

Maisha ya mitandaoni yanawadanganya sana vijana, full maigizo wakati mtaa hautaki maigizo wala elimu ya kukariri!!!!!!!!! Mtaa una kanuni zake ambazo hutazikuta darasani mpaka unakufa!!!!!!!!!!!!
Moja ya kanuni ni hii hapa:

“Trouble cannot be avoided, you either go looking for it or it will come looking for you.” – Constance Friday
 
Lengo la swali langu hili ni kupata company kutoka kwa hawa wamachinga wa mbezi maana nami ninampango wa kufungua meza yangu ya biashara hapo mbezi mwisho. Nilishapata eneo na nimeongea na mmiliki na amenipa hadi details za ushuru ili niweze kufanya biashara yangu mpya kama mmchinga.

Ok anyway mnajuwa kabisa kuna ile hali ambayo waswahili wanasema kuona aibu. Yes kabla ya kufikilia hili wazo langu nimekuwa muoga na mtu wa aibu hasa nikitaka kujaribu biashara ya umachinga. Huwa nafikiria sana nikiwepo pale mbezi na meza yangu ya biashara halafu ukicheki pale kuna mkusanyiko mkubwa wa watu, baadhi ya watu wanaonifahamu ni rahisi kukutana nao pale mbezi, sasa hofu yangu ni kwamba nitawaambia nini pindi wakiniona nimekuwa mmchinga na hii degree yangu??

Ila hili wazo nimepotezea kutokana na hali yangu ya kiuchumi na biashara yangu ya mara ya kwanza kukumbana na changamoto za kukosa wateja, maana hapa nilipo hakuna mkusanyiko mkubwa wa watu ukilinganisha na mbezi.

Hivo nimekuja mbele yenu mnipe courage (ujasiri) namna ya kuhimili hili wazo langu la biashara ya umachinga ukiachilia mbali degree niliokuwa nayo ili nisione aibu na nisijihisi niko pekee yangu tunaopitia hii hali ngumu ya kiuchumi hasa wale degree holder ambao tumeamua au wameshaanza kufanya biashara ya umachinga

#Natanguliza_shukurani_wakuuView attachment 2695481
Una degree ya faculty gn mkuu
 
Back
Top Bottom