crankshaft
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 1,427
- 3,438
Remember,
you have dreams to chase not people to impress.
you have dreams to chase not people to impress.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
degree my foot!Lengo la swali langu hili ni kupata company kutoka kwa hawa wamachinga wa mbezi maana nami ninampango wa kufungua meza yangu ya biashara hapo mbezi mwisho...
Nifafanue nini sasa hapo ingieni msituni muwatoe CCM madarakani maana ndie chanzo cha matatizo yenu acheni kulialia mitandaoniKivipi mkuu fafanua
Nimekuja kupokea maoni yenu angalau wewe umenipa ujasiri wa kuanza hii biashara ya umachinga. Inabidi aibu niiweke pembeni now nifocus na maisha. Nashukuru sana mkuuutoto unakusumbua mm nafanya kazi zote nabeba zege ...nalima bustani...nabeba maji kwenye madumu.....nasaidia fundi...kibarua chochote halali nafanya...
Nashukuru sana mkuu. Nakaribia kumaliza taratibu zote za kulipia ushuru. Hivi soon naanza hii kazikafanye kazii watu wana degree za medicine wanafanya umachinga wewe unaogopa nini
kama vipi nipe hio meza nikapige kazii japo nina bachelor , bachelor haina maana kama huna hela*
I got you Mr !Remember,
you have dreams to chase not people to impress.
Sawa mkuu nashukuru sana kwa ushauri! umenipa ujasiri wa kuanzadegree my foot!
Degree unaziacha chuo dogo huku mtaani nikama unaanza upyaaa wewe kama huna connection ni mtoto wa mtaani tu unajiokoa mwenyewe.
Ingia pambana kama utaowakuta hapo wewe ongeza thamani ya bidhaa kwa elimu ulisomea..
Ila nakukumbusha tu hapo mbezi degree ni nyingi na masters zipo za kutosha watu wanaangaika muhimu wapate mkate..
Huko msituni mtatupa hela ya kula, matibabu, na pesa za kujikimu??Nifafanue nini sasa hapo ingieni msituni muwatoe CCM madarakani maana ndie chanzo cha matatizo yenu acheni kulialia mitandaoni
HUu ni ugonjea ambao tunauita "spot light effect' yaani mtu snakuwa na mawazo kwwba anachofanya basi kuna watu wanaomjua wanamuona alafu watamchukuliaje,so mtu anaishi kwa stress na kujifichaficha.sasa hofu yangu ni kwamba nitawaambia nini pindi wakiniona nimekuwa mmchinga na hii degree yangu??
Nyie watoto wa mama hamjitambui siku MaCCM yatawalala kwa tabia hizi za kifala mlizonazoHuko msituni mtatupa hela ya kula, matibabu, na pesa za kujikimu??
Mungu akubariki sana mkuu!! Umenipa funzo nitalifanyia kazi. Nashukuru sana mkuu [emoji1488]HUu ni ugonjea ambao tunauita "spot light effect' yaani mtu snakuwa na mawazo kwwba anachofanya basi kuna watu wanaomjua wanamuona alafu watamchukuliaje,so mtu anaishi kwa stress na kujifichaficha.
naowafahamu juu ya vipi wanatakiwa wakuone.
OfcourseJust do it
If you want something to be done properly do it yourself additionally in your case you have to do what we call tringle ration that is asking three different people in this case you have to go to the scenarioLengo la swali langu hili ni kupata company kutoka kwa hawa wamachinga wa mbezi maana nami ninampango wa kufungua meza yangu ya biashara hapo mbezi mwisho. Nilishapata eneo na nimeongea na mmiliki na amenipa hadi details za ushuru ili niweze kufanya biashara yangu mpya kama mmchinga.
Kapambane hapo mm nilishajichanganya kipindi cha nyumba huko nikafakamia kazi ya kibarua site nimepiga siku ya kwanza ya pili ya tatu mdogo wangu huyu hapa nae amekuja kama supervisor 😆😆😆alafu ndio amegraduate degree ya engineer hapo udsm.Sawa mkuu nashukuru sana kwa ushauri! umenipa ujasiri wa kuanza
Sasa hiyo CCM inatakapondoka madarakani ndio tutapata hizo ajira?? Kumbuka tatizo la ajira ni Dunia nzimaNyie watoto wa mama hamjitambui siku MaCCM yatawalala kwa tabia hizi za kifala mlizonazo
Much thanks for your advice [emoji1488]If you want something to be done properly do it yourself additionally in your case you have to do what we call tringle ration that is asking three different people
Hongera sana mkuu kwa kujichanganya. Ngoja nasi tujaribu bahati zetu huenda hapo pakanitoa kimaishaKapambane hapo mm nilishajichanganya kipindi cha nyumba huko nikafakamia kazi ya kibarua site nimepiga siku ya kwanza ya pili ya tatu mdogo wangu huyu hapa nae amekuja kama supervisor [emoji38][emoji38][emoji38]alafu ndio amegraduate degree ya engineer hapo udsm.
Nikamvuta pembeni nikamwambia ndio uanaume huu na nisisikie haya yamefika home.
Nanikaendelea fresh na kibarua nilipopata nilichokitaka nikaacha.