Hivi kuna wanaofanyabiashara ya Umachinga wenye Degree pale Mbezi Mwisho?

Hivi kuna wanaofanyabiashara ya Umachinga wenye Degree pale Mbezi Mwisho?

Lengo la swali langu hili ni kupata company kutoka kwa hawa wamachinga wa mbezi maana nami ninampango wa kufungua meza yangu ya biashara hapo mbezi mwisho...
degree my foot!
Degree unaziacha chuo dogo huku mtaani nikama unaanza upyaaa wewe kama huna connection ni mtoto wa mtaani tu unajiokoa mwenyewe.

Ingia pambana kama utaowakuta hapo wewe ongeza thamani ya bidhaa kwa elimu ulisomea..
Ila nakukumbusha tu hapo mbezi degree ni nyingi na masters zipo za kutosha watu wanaangaika muhimu wapate mkate..
 
utoto unakusumbua mm nafanya kazi zote nabeba zege ...nalima bustani...nabeba maji kwenye madumu.....nasaidia fundi...kibarua chochote halali nafanya...
Nimekuja kupokea maoni yenu angalau wewe umenipa ujasiri wa kuanza hii biashara ya umachinga. Inabidi aibu niiweke pembeni now nifocus na maisha. Nashukuru sana mkuu
 
degree my foot!
Degree unaziacha chuo dogo huku mtaani nikama unaanza upyaaa wewe kama huna connection ni mtoto wa mtaani tu unajiokoa mwenyewe.

Ingia pambana kama utaowakuta hapo wewe ongeza thamani ya bidhaa kwa elimu ulisomea..
Ila nakukumbusha tu hapo mbezi degree ni nyingi na masters zipo za kutosha watu wanaangaika muhimu wapate mkate..
Sawa mkuu nashukuru sana kwa ushauri! umenipa ujasiri wa kuanza
 
sasa hofu yangu ni kwamba nitawaambia nini pindi wakiniona nimekuwa mmchinga na hii degree yangu??
HUu ni ugonjea ambao tunauita "spot light effect' yaani mtu snakuwa na mawazo kwwba anachofanya basi kuna watu wanaomjua wanamuona alafu watamchukuliaje,so mtu anaishi kwa stress na kujifichaficha.

Mtoa mada usijali hiyo ni tatizo la kisaikolojia ambalo maranyingilinatoksna na background ya mtu,kama mtotohakukuzwa kwenye mambo ya biashara na wazazi mara nyingi inakuwa hivyo.

Usijione mpuuzi hiyo hali ni ya kawaida na upuuzi ni kuibembeleza hali hiyo,ili ujijue umekuwa maana yake ishinde hali hiyo.

Yani huwezi amini hao unaodhani watakucheka ama kukujaji ama unadhani kwamba akikuona mmoja atawajulisha wengine kwamba fulani anafanya inshu fulani basi jua hao ndio wataishia kusema "DAH KAJIONGEZA"

Yaani hawatokuona mpuuzi badala yake watakuona wewe ni mtu wa kujichanganya na kutafuta life na hiyo ni heshima.

Labda iwe ulikuwa unajifanya mtu wa kishua ambaye huwezi kufanya harakati za mtaa na hata hivyo hiyo isiwe sababu ya wewe kubadilika na kutimiza azma yako.

Kumbuka kwamba siku zote kutekeleza wazo kuna reward ambayo hujitokeza mbele ya safari,usishangae kwenye hiyo inshu ukishafanya baada ya muda fulani ukapata connection ya dili za maana kupitia hiyo hiyo kazi,so keep moving mdogo wangu na wala haukukubaliana na watu unaowafahamu juu ya vipi wanatakiwa wakuone.
 
HUu ni ugonjea ambao tunauita "spot light effect' yaani mtu snakuwa na mawazo kwwba anachofanya basi kuna watu wanaomjua wanamuona alafu watamchukuliaje,so mtu anaishi kwa stress na kujifichaficha.
naowafahamu juu ya vipi wanatakiwa wakuone.
Mungu akubariki sana mkuu!! Umenipa funzo nitalifanyia kazi. Nashukuru sana mkuu [emoji1488]
 
Lengo la swali langu hili ni kupata company kutoka kwa hawa wamachinga wa mbezi maana nami ninampango wa kufungua meza yangu ya biashara hapo mbezi mwisho. Nilishapata eneo na nimeongea na mmiliki na amenipa hadi details za ushuru ili niweze kufanya biashara yangu mpya kama mmchinga.
If you want something to be done properly do it yourself additionally in your case you have to do what we call tringle ration that is asking three different people in this case you have to go to the scenario
 
Sawa mkuu nashukuru sana kwa ushauri! umenipa ujasiri wa kuanza
Kapambane hapo mm nilishajichanganya kipindi cha nyumba huko nikafakamia kazi ya kibarua site nimepiga siku ya kwanza ya pili ya tatu mdogo wangu huyu hapa nae amekuja kama supervisor 😆😆😆alafu ndio amegraduate degree ya engineer hapo udsm.
Nikamvuta pembeni nikamwambia ndio uanaume huu na nisisikie haya yamefika home.
Nanikaendelea fresh na kibarua nilipopata nilichokitaka nikaacha.
 
Kapambane hapo mm nilishajichanganya kipindi cha nyumba huko nikafakamia kazi ya kibarua site nimepiga siku ya kwanza ya pili ya tatu mdogo wangu huyu hapa nae amekuja kama supervisor [emoji38][emoji38][emoji38]alafu ndio amegraduate degree ya engineer hapo udsm.
Nikamvuta pembeni nikamwambia ndio uanaume huu na nisisikie haya yamefika home.
Nanikaendelea fresh na kibarua nilipopata nilichokitaka nikaacha.
Hongera sana mkuu kwa kujichanganya. Ngoja nasi tujaribu bahati zetu huenda hapo pakanitoa kimaisha
 
Back
Top Bottom