Pana tajiri mkubwa Nigeria akiwa na masters yake Toka UK baada ya kukosa kazi na kodi alijihifadhi kibanda Cha msukuma mkokoteni akisaidiwa chakula na makazi urafiki wao walikutana pombeni baada ya jamaa kupigwa maisha.
Hakuna jinsi jamaa wa masters ikabidi ajichanganye akasukume mkokoteni Hana jinsi ashatembeza sana bashasha Lagos lakini hola.
Akawa anasukuma mkokoteni akajifunza saving kula robo kutunza robo tatu akiweka kwenye kibuku baada ya miaka 2 akavunja akutegemea pesa alivyokuwa ni nyingi Akafungua biashara ya duka kwa sababu ya uzoefu wa kubeba mizigo ya madukani.
Mtaji ukakua kwa sababu aliwahi ishi UK akatafuta connection akaanza kuexport UK na kumport Nigeria Akafungua biashara UK na Nigeria akafanikiwa sana pia ni motivation speaker na mwandishi wa vitabu vya mafanikio pia.
So endelea kuogopa watu utanunua sabuni kwa cheti.