Hivi kuna watu mnaamini Lissu atakuwa Rais?

Hivi kuna watu mnaamini Lissu atakuwa Rais?

heartbeats

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2014
Posts
8,042
Reaction score
13,383
Habari wakuu,

Tunaaswa kuwa na IMANI iliyo imara ila sio kutumia imani kwa ovyo,jukwaa la siasa mmepata washabiki wengi wa chama cha Lissu maana ni nyuzi za Lisu mshindi, Lisu ndo anatakiwa.

Anyway, sioni uwezekano wa lisu kushika madaraka, wananchi watanzania ni watu wavumilivu ni watu wanaohitaji nchi iliyo imara, nchi inayorekebishishwa kwa kasi.

Watanzania ni watu wenye huruma na kusamehe hapo hapo. Lissu ni mtu asiejishusha na kusamehe ndo maana sina time ya kumsikiliza.

Huna uhakika na mtu aliekushambulia ila unamahtumu kana kwamba ni Mungu kakuambia. Lissu anataka kutuletea umagharibi kabisa.

Lisu ungekua mtu wa kiasi ungeshinda. Umeicheka nchi yetu ilivyopitia katika magumu hasa ya madini na ndege.

Umeonyesha usaliti wa wazi wazi kwa nchi yako alafu unataka tukupe nchi, wananchi si wajinga lisu hakuna atakae ingia barabarani kukutetea wewe kuwa rais.

Kila mtu ataenda ktk shughuli zake kuitetea familia yake ipate mkate wa kila siku

Magufuli ndie raisi anaehitajika kuendelea, uchaguzi utakua huru na haki na kura za magufuli zitakua nyingi mno

Nchi yetu itakua ya amani zaidi na hakuna atakae ingia ktk upuuzi wa maandamano, Tunaingia katika kuifurahia Tanzania yetu

Nyie chekeleeni tu hoja chekeleeni anaeumbuliwa ila magufuli ndie rais ajae tena kwa kura nyingi,

Nipo na watu wa chini kabisa ambao hata akaunti zao hazisomi mia na wanaenda kumpigia kura Magufuli,
 
Kama huamini, Baki na kutoamini kwako.

Tuache tunaoamini, tuendelee kuamini na tarehe 28/10 tukaandike barua zetu za kumkabidhi OFISI nyeti ya nchi kupitia sanduku la kura.
 
TUNAOMPIGIA KURA TUNAAMINI ANASHINDA. WEWE KAMA HUAMINI lamba kalio lako kisha pita vileeee
 
Kwanini unaamini ni Maghufuli na si mtu yeyote?! Hii dhana itakapowatoka baadhi ya WaTz. Tanzania itakuwa nchi bora. Lakini kudhani CCM haiwezi kung'oka ni upungufu wa mawazo.
 
Unasema TL analaum kushambuliwa kwake ,vaaa viatu vya TL vya kumiminiwa risasi 16 alafu utwambie ungesema nini kwa watu wanaokwambiaa jarada limefungwa hatutaki kujua alietaka kukuua.Binadam siku hizi hatuna tofauti na wanyama yaani unafurahi mwenzio kuendelea kuteseka na ulemavu alio nao utafikiri wewe Mungu kuna kitu ulichompa asikufanye hivyo.
 
Raisi huchaguliwa kwakura ukiweka yako nayangu nazawenzetu lisu raisi tena siraisi tu niwajamuhuri yamungano Watanzania mungu amtangulie aamina.
 
💯 twaamini
Tumekiri imani
Wamkataa shwatani na mambo yake yote?! Ndiyo twamkataa shwatani na mambo yake yote
 
Sijui una umri gani! Nani aliamini kuwa Sheikh Omar al-Bashir, Rais wa Sudan (1989-2019) angekuwa anatumikia kifungo leo hii kwa makosa ya matumizi mabaya ya madaraka!!!!!
 
For sure atakuwa Rais as long as ashinde. Jiwe akikataa kutoka madarakani, atakumbana na Bombs za International community
 
Uliwahi amini kama mtu akipigwa risasi 16 za kiuno,tumbo na mgongoni ataishi?
 
Lissu ni rais wetu 2020, asiyependa atoroke saa sita za usiku!
🎹🎵🎶🎶🎤

😅
👊 ✌️✌️✌️💥
 
Back
Top Bottom