Hivi kuna watu mnaamini Lissu atakuwa Rais?

Hivi kuna watu mnaamini Lissu atakuwa Rais?

Unasema TL analaum kushambuliwa kwake ,vaaa viatu vya TL vya kumiminiwa risasi 16 alafu utwambie ungesema nini kwa watu wanaokwambiaa jarada limefungwa hatutaki kujua alietaka kukuua.Binadam siku hizi hatuna tofauti na wanyama yaani unafurahi mwenzio kuendelea kuteseka na ulemavu alio nao utafikiri wewe Mungu kuna kitu ulichompa asikufanye hivyo.
Wewe una uhakika gani kwamba serikali ilihusika? Twambie dereva wake yuko wapi ambae ni shahidi no moja aliye shudia? Sipingi upinzani kuwepo uwepo tena wa nguvu ila lisu hatoshi kabisa kwenda bora hata razalo nyarandu ana hekima sana, tena angekua razalo hata mm ningemuchagua lakini huyo roporopo wenu hapana, na kwa taarifa tu hawezi kushinda mutaona.
 
Habari wakuu,

Tunaaswa kuwa na IMANI iliyo imara ila sio kutumia imani kwa ovyo,jukwaa la siasa mmepata washabiki wengi wa chama cha lisu maana ni nyuzi za lisu mshindi lisu ndo anatakiwa

Anyway sioni uwezekano wa lisu kushika madaraka, wananchi watanzania ni watu wavumilivu ni watu wanaohitaji nchi iliyo imara,nchi inayorekebishishwa kwa kasi,

Watanzania ni watu wenye huruma na kusamehe hapo hapo,lisu ni mtu asiejishusha na kusamehe ndo maana sina time ya kumsikiliza,

Huna uhakika na mtu aliekushambulia ila unamahtumu kana kwamba ni mungu kakuambia,
Lisu anataka kutuletea umagharibi kabisaa

Lisu ungekua mtu wa kiasi ungeshinda,
Umeicheka nchi yetu ilivyopitia katika magumu hasa ya madini na ndege

Umeonyesha usaliti wa wazi wazi kwa nchi yako alafu unataka tukupe nchi, wananchi si wajinga lisu hakuna atakae ingia barabarni kukutetea wewe kuwa raisi,
Kila mtu ataenda ktk shughuli zake kuitetea familia yake ipate mkate wa kila siku

Magufuli ndie raisi anaehitajika kuendelea ,uchaguzi utakua huru na haki na kura za magufuli zitakua nyingi mno

Nchi yetu itakua ya amani zaidi na hakuna atakae ingia ktk upuuzi wa maandamano, Tunaingia katika kuifurahia Tanzania yetu

Nyie chekeleeni tu hoja chekeleeni anaeumbuliwa ila magufuli ndie rais ajae tena kwa kura nyingi,

Nipo na watu wa chini kabisa ambao hata akaunti zao hazisomi mia na wanaenda kumpigia kura magufuli,
Wache wajipe moyo katika Safari yao ya matumaini...mimi nimeuliza Lissu na lowasa Nani zaidi hawajibu..Kama Lowasa alikuwa mwanasiasa gwiji hakuweza kumpiku Magufuli iweje ka Lissu haka eti nako kanajitutumua..utadhani kanajipigia kura kenyewe..asitupotezee muda nachoweza mwambia akijitahidi Sana atapata nusu ya kura alizopata lowasa..Kwisha.habar yake.!! Mara Mia angegombea Mbowe kuliko huyu mwanaharakati...Kwanza labda ametumwa na hao mabwana aje atuvurugie Taifa letu..hatumwamini kipindi chote amekaa nje amefanya vitu gani na mabeberu...Kama Lissu aliweza kuikana serikali na nchi na kuwatetea Accasia gold mine, kwa sababu ya tumbo lake..vipi kuhusu nchi..so ataweza kuuza kabisa nchi huyu..nasema hatumwamini
 
Kumbe na wewe kiwango chako Cha kufikiriaa kimekomea hapo haya
 
Kama huamini, Baki na kutoamini kwako.

Tuache tunaoamini, tuendelee kuamini na tarehe 28/10 tukaandike barua zetu za kumkabidhi OFISI nyeti ya nchi kupitia sanduku la kura.
Hahahah mmeshindwa ofisi ya Ufipa tu hapo kinondoni mtaiweza ofisi kuu ya nchi...kakojoeni mlale
 
Sanaa tu tena mkabidhi nchii kwa amani
Ofisi ya chama chenu tu mmatembea nayo kwenye mifuko hamna ofisi maalum..mnakimbiakimbia Sasa ofisi kuu ya nchi mkabidhiwe muipeleke wapi nyinyi..mnataka kuuza nchi..kwendeni kule jomba..tafuteni kazi nyinyine za kufanya
 
Sijui una umri gani! Nani aliamini kuwa Sheikh Omar al-Bashir, Rais wa Sudan (1989-2019) angekuwa anatumikia kifungo leo hii kwa makosa ya matumizi mabaya ya madaraka!!!!!
Hii in mahusiano gani jomba, umerukwa na akili au...ukitaka kujua asilimia zaidi ya 90 wakoje na Wana mawazo gani vichwani mwao, jaribu kucheza na mjomba Magufuli..utawajua..muulizeni Dada yenu mstaaf Mange Kimav. Na adhabu yenu kubwa inakuja tarehe 28octoba
 
Habari wakuu,

Tunaaswa kuwa na IMANI iliyo imara ila sio kutumia imani kwa ovyo,jukwaa la siasa mmepata washabiki wengi wa chama cha lisu maana ni nyuzi za lisu mshindi lisu ndo anatakiwa

Anyway sioni uwezekano wa lisu kushika madaraka, wananchi watanzania ni watu wavumilivu ni watu wanaohitaji nchi iliyo imara,nchi inayorekebishishwa kwa kasi,

Watanzania ni watu wenye huruma na kusamehe hapo hapo,lisu ni mtu asiejishusha na kusamehe ndo maana sina time ya kumsikiliza,

Huna uhakika na mtu aliekushambulia ila unamahtumu kana kwamba ni mungu kakuambia,
Lisu anataka kutuletea umagharibi kabisaa

Lisu ungekua mtu wa kiasi ungeshinda,
Umeicheka nchi yetu ilivyopitia katika magumu hasa ya madini na ndege

Umeonyesha usaliti wa wazi wazi kwa nchi yako alafu unataka tukupe nchi, wananchi si wajinga lisu hakuna atakae ingia barabarni kukutetea wewe kuwa raisi,
Kila mtu ataenda ktk shughuli zake kuitetea familia yake ipate mkate wa kila siku

Magufuli ndie raisi anaehitajika kuendelea ,uchaguzi utakua huru na haki na kura za magufuli zitakua nyingi mno

Nchi yetu itakua ya amani zaidi na hakuna atakae ingia ktk upuuzi wa maandamano, Tunaingia katika kuifurahia Tanzania yetu

Nyie chekeleeni tu hoja chekeleeni anaeumbuliwa ila magufuli ndie rais ajae tena kwa kura nyingi,

Nipo na watu wa chini kabisa ambao hata akaunti zao hazisomi mia na wanaenda kumpigia kura magufuli,
Hakuna neno zuri linalokustahili zaidi ya pole. Maana sio kosa lako.
 
Habari wakuu,

Tunaaswa kuwa na IMANI iliyo imara ila sio kutumia imani kwa ovyo,jukwaa la siasa mmepata washabiki wengi wa chama cha Lissu maana ni nyuzi za Lisu mshindi, Lisu ndo anatakiwa.

Anyway, sioni uwezekano wa lisu kushika madaraka, wananchi watanzania ni watu wavumilivu ni watu wanaohitaji nchi iliyo imara, nchi inayorekebishishwa kwa kasi.

Watanzania ni watu wenye huruma na kusamehe hapo hapo. Lissu ni mtu asiejishusha na kusamehe ndo maana sina time ya kumsikiliza.

Huna uhakika na mtu aliekushambulia ila unamahtumu kana kwamba ni Mungu kakuambia. Lissu anataka kutuletea umagharibi kabisa.

Lisu ungekua mtu wa kiasi ungeshinda. Umeicheka nchi yetu ilivyopitia katika magumu hasa ya madini na ndege.

Umeonyesha usaliti wa wazi wazi kwa nchi yako alafu unataka tukupe nchi, wananchi si wajinga lisu hakuna atakae ingia barabarani kukutetea wewe kuwa rais.

Kila mtu ataenda ktk shughuli zake kuitetea familia yake ipate mkate wa kila siku

Magufuli ndie raisi anaehitajika kuendelea, uchaguzi utakua huru na haki na kura za magufuli zitakua nyingi mno

Nchi yetu itakua ya amani zaidi na hakuna atakae ingia ktk upuuzi wa maandamano, Tunaingia katika kuifurahia Tanzania yetu

Nyie chekeleeni tu hoja chekeleeni anaeumbuliwa ila magufuli ndie rais ajae tena kwa kura nyingi,

Nipo na watu wa chini kabisa ambao hata akaunti zao hazisomi mia na wanaenda kumpigia kura Magufuli,
Hawezi KUSHINDA huyo; 28 Oktoba mtaniambia. Na lazima atakimbilia kwa Bob Amsterdam, kwa kichapo atakachopata huyu Mr Mzungu kwenye sanduku la kura. Sasa msiseme sikuwaambia!
 
Back
Top Bottom