Hivi kuna watu mnaamini Lissu atakuwa Rais?

Kama huyu John ameweza kuwa rais basi hakuna binadamu atakayeshindwa!
 
Wewe una uhakika gani kwamba serikali ilihusika? Twambie dereva wake yuko wapi ambae ni shahidi no moja aliye shudia? Sipingi upinzani kuwepo uwepo tena wa nguvu ila lisu hatoshi kabisa kwenda bora hata razalo nyarandu ana hekima sana, tena angekua razalo hata mm ningemuchagua lakini huyo roporopo wenu hapana, na kwa taarifa tu hawezi kushinda mutaona.
 
Wache wajipe moyo katika Safari yao ya matumaini...mimi nimeuliza Lissu na lowasa Nani zaidi hawajibu..Kama Lowasa alikuwa mwanasiasa gwiji hakuweza kumpiku Magufuli iweje ka Lissu haka eti nako kanajitutumua..utadhani kanajipigia kura kenyewe..asitupotezee muda nachoweza mwambia akijitahidi Sana atapata nusu ya kura alizopata lowasa..Kwisha.habar yake.!! Mara Mia angegombea Mbowe kuliko huyu mwanaharakati...Kwanza labda ametumwa na hao mabwana aje atuvurugie Taifa letu..hatumwamini kipindi chote amekaa nje amefanya vitu gani na mabeberu...Kama Lissu aliweza kuikana serikali na nchi na kuwatetea Accasia gold mine, kwa sababu ya tumbo lake..vipi kuhusu nchi..so ataweza kuuza kabisa nchi huyu..nasema hatumwamini
 
Kumbe na wewe kiwango chako Cha kufikiriaa kimekomea hapo haya
 
Kama huamini, Baki na kutoamini kwako.

Tuache tunaoamini, tuendelee kuamini na tarehe 28/10 tukaandike barua zetu za kumkabidhi OFISI nyeti ya nchi kupitia sanduku la kura.
Hahahah mmeshindwa ofisi ya Ufipa tu hapo kinondoni mtaiweza ofisi kuu ya nchi...kakojoeni mlale
 
Sanaa tu tena mkabidhi nchii kwa amani
Ofisi ya chama chenu tu mmatembea nayo kwenye mifuko hamna ofisi maalum..mnakimbiakimbia Sasa ofisi kuu ya nchi mkabidhiwe muipeleke wapi nyinyi..mnataka kuuza nchi..kwendeni kule jomba..tafuteni kazi nyinyine za kufanya
 
Sijui una umri gani! Nani aliamini kuwa Sheikh Omar al-Bashir, Rais wa Sudan (1989-2019) angekuwa anatumikia kifungo leo hii kwa makosa ya matumizi mabaya ya madaraka!!!!!
Hii in mahusiano gani jomba, umerukwa na akili au...ukitaka kujua asilimia zaidi ya 90 wakoje na Wana mawazo gani vichwani mwao, jaribu kucheza na mjomba Magufuli..utawajua..muulizeni Dada yenu mstaaf Mange Kimav. Na adhabu yenu kubwa inakuja tarehe 28octoba
 
Hakuna neno zuri linalokustahili zaidi ya pole. Maana sio kosa lako.
 
Hawezi KUSHINDA huyo; 28 Oktoba mtaniambia. Na lazima atakimbilia kwa Bob Amsterdam, kwa kichapo atakachopata huyu Mr Mzungu kwenye sanduku la kura. Sasa msiseme sikuwaambia!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…