Hivi kuna watu wapo humu na hawajawahi kabisa kufika jijini Dar es Salaam?

Nimewaza tuu eti Kuna watu mpo humu mnaisikia Dar redioni tuu?

How come? Yani una miaka 30 plus dar hujawahi kufika??
Kuna watu wanatumia uwanja wa KIA na wameshazurura sana kwenye airport za Amserdam, Zurich, Michigan, LA, Frankfurt, Munich, Ataturk, DXB ,Heathrow wakati unaendelea kuishangaa Dar.

Kuna wakati nilikutana na Mshkaj alikuwa hajawahi kufika Ubungo ni Mzanzibar yeye anajua Bandarini na Airport
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…