Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 7,672
- 9,039
Sina chuki na watu niliowataja hapo juu. Ila kiasili na kimatendo wana roho mbaya, wachoyo, na zaidi ni wabaguzi wa kunuka.
Ukiwakaribisha kwenye nchi yako jua watataka wakutawala, wakubague, hata wakutupe nje.
Je ni kwanini Tanzania tumejaza watu hawa bila kuchelea hatari yao?
Ukienda Somalia wabantu wanabaguliwa hakuna mfano.
Yenyewe ikija kwetu tunaipapatikia na kufikia hata kuipa uwaziri kama yule Bashe.
Wahindi na waarabu kwao ndo usiseme wanavyotubagua ukiachia mbali mashariki ya kati kuwaua waafrika kama mende. Ukija kwa watutsi, kama wasomali, wanajiona wao si waafrika na kama ni waafrika, ni wa daraja la juu.
Yote ukiiangalia, ina nini cha mno?
Japo na wazungu ni wabaguzi,angalau wanawabagua hata hawa wabaguzi japo hakuna ubuguzi mzuri.