Ok ok nimekuelewa vizuri..Pale hamna barabara ya Nach-Mtama bali ipo Nach-Ndanda na Nach-Nanganga, ipo pia Nanganga-Rwangwa zote hizo ni vumbi
Hii ziara ya PM mimi imenifurahisha sana...!! Na hasa imeakisi kile nilihokua nimekisema hapo awali kwenye uzi huu. Ukweli ni kwamba watendaji wetu wasipotembelewa kwa muda mrefu wanajisahau.....!! Kongole Mhe. WM KMM na Mbunge wangu wa RwangwaIla hivi juzi tu hapa PM kawatembelea huko, kwa taarifa tunazozisikia ni kwamba, AFISA MIPANGO wa huko kasimamishwa kazi kutokana na matumizi mabaya ya Ofisi ya umma
Na si hivyo tu kagomea uzinduzi wa barabara kwa kuwa haijakamilishwa kwa kuwekewa taa za barabarani na hospital mpya pia kutokana na ubadhirifu
Mmeanza kutembelewa, kibaya ni kwamba; MADIWANI WA HALMASHAURI hiyo inaonesha ni dhahiri wapo pale ila HAWATAMBUI MAJUKUMU YAO.
WAKIPEWA 20000/= Kama posho huridhika huku watendaji wakijichotea mapesa watakavyo
Na tatizo lingine huko kwenu LIWALE kumetawaliwa na majungu sana, utapendwa ukiwa ROYAL kwao na ukionesha mawazo kinzani kwao hasa kwa baadhi ya viongozi wa HALMASHAURI, Cha moto utakiona
Nimeona na Kilwa kuna kitu kakifanya kwa wale vijana wa TRA.Ila hivi juzi tu hapa PM kawatembelea huko, kwa taarifa tunazozisikia ni kwamba, AFISA MIPANGO wa huko kasimamishwa kazi kutokana na matumizi mabaya ya Ofisi ya umma
Na si hivyo tu kagomea uzinduzi wa barabara kwa kuwa haijakamilishwa kwa kuwekewa taa za barabarani na hospital mpya pia kutokana na ubadhirifu
Mmeanza kutembelewa, kibaya ni kwamba; MADIWANI WA HALMASHAURI hiyo inaonesha ni dhahiri wapo pale ila HAWATAMBUI MAJUKUMU YAO.
WAKIPEWA 20000/= Kama posho huridhika huku watendaji wakijichotea mapesa watakavyo
Na tatizo lingine huko kwenu LIWALE kumetawaliwa na majungu sana, utapendwa ukiwa ROYAL kwao na ukionesha mawazo kinzani kwao hasa kwa baadhi ya viongozi wa HALMASHAURI, Cha moto utakiona
Liwale wana vitu vya hajabu sanaHhaahhhahhaa sio kweli mkuu
Mkuu hata ungekuwa wewe usingeenda Liwale, kule kila mtu mchawi ama mshirikina anayesali swala 5 kwa siku huku akifuga majini/chuma ulete. Sehemu yeyote ya wachawi huwaga hawapendi maendeleo hata siku moja, utawahamasisha ila wapi, wao wanawaza kufuga majini tu.Ni matumaini yangu mu wazima..!?
Hizi wilaya zetu pamoja na changamoto za miundombinu ya barabara kuna ulazima wa viongozi wa kitaifa kufanya ziara ikiwezekana mara baada ya mara. Lakini hali ikiwa hivi kama ilivyo huko wilayani Liwale inaleta shida katika utendaji wa baadhi ya watumishi wa ngazi za juu katika halmashauri. Hufanya kazi kiholela kwa kujua viongozi hawawezi fika huko...!
Jambo hili ni huko Liwale tu au kuna wilaya zingine zina changamoto hii??
Jamani jamani jamanii....Mkuu hata ungekuwa wewe usingeenda Liwale, kule kila mtu mchawi ama mshirikina anayesali swala 5 kwa siku huku akifuga majini/chuma ulete. Sehemu yeyote ya wachawi huwaga hawapendi maendeleo hata siku moja, utawahamasisha ila wapi, wao wanawaza kufuga majini tu.
Hizo zinazo tembelewa zina nini cha maaanaNi matumaini yangu mu wazima..!?
Hizi wilaya zetu pamoja na changamoto za miundombinu ya barabara kuna ulazima wa viongozi wa kitaifa kufanya ziara ikiwezekana mara baada ya mara. Lakini hali ikiwa hivi kama ilivyo huko wilayani Liwale inaleta shida katika utendaji wa baadhi ya watumishi wa ngazi za juu katika halmashauri. Hufanya kazi kiholela kwa kujua viongozi hawawezi fika huko...!
Jambo hili ni huko Liwale tu au kuna wilaya zingine zina changamoto hii??
Ile wilaya kubwa sana..na ndio wilaya duni miaka yote..bora ivunjwe tu..iwe pori tengefu.jiwe angavu hahahahh mkuu ikivunjwa itakuaje sasa! Si unajua kule ndio nyumbani kwa waziri mkuu wa Enzi zile....