Hivi kunywa pombe ni dhambi?

Eeh hi nayo kali,nipe kwanza hilo Andiko.
Kwaio ukinywea pombe Kanisani au Msikitini sehemu takatifu takatifu haina shida eti?
Wapi nimetaja kanisani pombe Kuna mazingira ukinywa ni haramu na Kuna mazingira ni halali kunywa pombe nyumbani kwako au sehemu iliyotulia ujazwe na Roho usinywe pombe sehemu ya bar au club
lakini pia unapotaka kutafuta mtotot mke wako usinywe pombe ni haramu
 

Tumieni akili kidogo. Wewe ni mgalatia au mkoritho? Acheni hizo bana. Sisi watz hatumo kabisa humo,tuacheni tufurahi. Mbona umalaya mbafanya? Mnakomaa tu pombepombeee!
 
Tumieni akili kidogo. Wewe ni mgalatia au mkoritho? Acheni hizo bana. Sisi watz hatumo kabisa humo,tuacheni tufurahi. Mbona umalaya mbafanya? Mnakomaa tu pombepombeee!
Mm akili kidogo niliyotumia ni hii kwamba kama kazini kwangu si ruhusiwi kwenda nimelewa ,je Mbinguni si zaidi?
Ķama kwa mganga siwezi pigiwa manyanga nimelewa je kwa Mungu si zaidi?
Kama mahakamani siwezi sikilizwa nikiwa nimelewa je kwa Mungu si zaidi?
Ndio maana nakubaliana na wagalatia na Wakorintho,
Maana kama ww tu huwazi kwa akili ndogo kma hii yangu basi kuna mahali akili yako haifikirii ikafika.
Mada ni pombe ingeletwa mada ya umalaya nayo tungeisemea kitu hapa.
 
Ungemfungulia biblia asome hapa
 

Attachments

  • IMG_3624.jpeg
    219.7 KB · Views: 3
Sàsa hukuelewa nini? Walokole wamekwambia kunywà POMBE ni dhambi kubwa sana.
Wewe ukafungua biblia kutafuta mstari ulioandika kunywa BIA ni dhambi.
Mbona hayo ni maandishi tofauti? Huwezi kuona neno BIA.
Tafuta kile ulichoambiwa na walokole, POMBE.
 

1 Wakorintho 6:9-10​


Au je, hamjui kwamba watu wabaya hawataurithi ufalme wa Mungu? Msijidanganye! Watu wanaoishi maisha ya uasherati, wanaoabudu sanamu, wazinzi, au walawiti, wezi, wachoyo, walevi, wasengenyaji, wanyanganyi, hao wote hawatashiriki ufalme wa Mungu.
 
But as long as naamini dini ni mambo ya uwongo. Basi wewe fanya chochote unachojiskia kufanya, kama hakikufarakanishi na mwenzako hicho ni chema
 
Kila kitu kisizidi uwezo wako kukihimili.Too much of anything is harmful.Lokoles huwa wenyewe kila kitu ni kibaya kwao.Yani ilimradi usifurahie maisha.Wapo medieval ages kila muda.
na hivyo vyote wanavyokataza hadharani, wao wenyewe wanavifanya kwa siri....lokoles ni wanafiki NAMBARI wani..🚮🚮
 

Mithali 31: 4-6

Hapo mstari wa 6 masikini tumeruhusiwa kunywa tusahau shida zetu.

Tuendelee kula vyombo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…