KALINZI NYUMBANI
JF-Expert Member
- Jan 7, 2015
- 2,083
- 2,183
Maana naona wanayangea kabisa na kuyaweka milango mabanda yao, ingawa yapo mbele ya maduka ya watu, sasa Serikal inaona baadae wakimaliza kuyajenga eti ndio inakuja kuyabomoa. Ni afadhari itoe ruksa kwa kila machinga au ikataze watu kuyaendeleza mabanda yao.watafikiwa tu , mambo yapo mengi kwa sasa, ni bora wangefocus kwenye kuangalia watapelekwa wapi
wafanyabiashara vita hiyo wanaiweza wenyewe, wakulima wakivamia mashamba wanalima mazao yasiyoyakudumu, kwa maana siku mambo yakiwa mabaya kusiwe na hasara kubwaMaana naona wanayangea kabisa na kuyaweka milango mabanda yao, ingawa yapo mbele ya maduka ya watu, sasa Serikal inaona baadae wakimaliza kuyajenga eti ndio inakuja kuyabomoa. Ni afadhari itoe ruksa kwa kila machinga au ikataze watu kuyaendeleza mabanda yao.
Sasa Serikali itulie iache watu wafanye biashara kwa utulivu.Hakuna atakayeweza kuwaondoa Wamachinga, machangudoa wala bodaboda. Kuwaondoa kunahitajika mipango mizuri na mahali sahihi pa kuwapeleka. Sasa wakiwaondoa watakwenda wapi? Watakula nini?
Wa Daslamu Toeni mwongozo