Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 7,681
- 9,575
Asante StudioNdiyo maana tunasema no reforms no election
Nakukumbusha kwamba mkuu wa wilaya alitumbuliwa kwa kusema CCM wakati wa uchaguzi huwa wanaenda maporiniWadau nilitaka kujua kama Kura tunazopigaga kwenye uchaguzi Mkuu kama kweli zinahesabiwa na kujumlishwa sawasawa!
Thamani ya Kura ipo wapi?
Hawa jamaa wa No Reforms, No election Wana hoja
NO REFORM NO ELECTIONWadau nilitaka kujua kama Kura tunazopigaga kwenye uchaguzi Mkuu kama kweli zinahesabiwa na kujumlishwa sawasawa!
Thamani ya Kura ipo wapi?
Hawa jamaa wa No Reforms, No election Wana hoja
No.ER,2025, No.E,2025NO REFORM NO ELECTION
NO REFORMA NO ELECCIÓN
PAS DE RÉFORME PAS D'ÉLECTION
لا إصلاح لا انتخابات
不改革,不选举
НЕТ РЕФОРМЫ – НЕТ ВЫБОРОВ
कोई सुधार नहीं, कोई चुनाव नहीं
কোনো সংস্কার নেই, কোনো নির্বাচন নেই
SEM REFORMA, SEM ELEIÇÃO
HAKUNA MAGEUZI, HAKUNA UCHAGUZI
改革なし、選挙なし
KEINE REFORM, KEINE WAHL
개혁 없으면 선거 없다
REFORM YOK, SEÇİM YOK
NESSUNA RIFORMA, NESSUNA ELEZIONE
KHÔNG CẢI CÁCH, KHÔNG BẦU CỬ
بدون اصلاحات، بدون انتخابات
کوئی اصلاح نہیں، کوئی انتخاب نہیں
ਕੋਈ ਸੁਧਾਰ ਨਹੀਂ, ਕੋਈ ਚੋਣ ਨਹੀਂ
ไม่มีการปฏิรูป ไม่มีการเลือกตั้ง
BABU GYARA, BABU ZABE
ÌYÍPADÀ KÒ SÍ, ÌDÌBÒ KÒ SÍ
AKUKHO GUQULO, AKUKHO UKHETHELO
ምንም �ውጥ �ልመጣ ምንም ምርጫ የለም
ENWEGHỊ NDOGHARỊ, ENWEGHỊ NTULỊAKA
JIJJIIRAA HIN QABNU, FILANNOS HIN QABNU
Kura zilishahesabiwa kitambo sn, mengine yote ni maigizo tupuWadau nilitaka kujua kama Kura tunazopigaga kwenye uchaguzi Mkuu kama kweli zinahesabiwa na kujumlishwa sawasawa!
Thamani ya Kura ipo wapi?
Hawa jamaa wa No Reforms, No election Wana hoja
Nape Nauye alitoa jibu kabisaWadau nilitaka kujua kama Kura tunazopigaga kwenye uchaguzi Mkuu kama kweli zinahesabiwa na kujumlishwa sawasawa!
Thamani ya Kura ipo wapi?
Hawa jamaa wa No Reforms, No election Wana hoja
Siku hizi hazihesabiwi, zinajazwa tu kwa maelekezoWadau nilitaka kujua kama Kura tunazopigaga kwenye uchaguzi Mkuu kama kweli zinahesabiwa na kujumlishwa sawasawa!
Thamani ya Kura ipo wapi?
Hawa jamaa wa No Reforms, No election Wana hoja
No reforms no electionNape Nauye alitoa jibu kabisa
wanahesabu kw anjia halali, nusu halali na haramu ili CCM washinde
Waulize walimu ambao huwa wanasimia watakwambia, kuna mmoja aliniambia hiyo hela anayo pata kwa kusimamia uchaguzi hawezi toa sadaka kwani Chafu kupita maelezoWadau nilitaka kujua kama Kura tunazopigaga kwenye uchaguzi Mkuu kama kweli zinahesabiwa na kujumlishwa sawasawa!
Thamani ya Kura ipo wapi?
MaHawa jamaa wa No Reforms, No election Wana hoja