Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 55,705
- 104,843
HAPANA.Huwa zinafanyiwa hesabu za makadirio ya juu.Wadau nilitaka kujua kama Kura tunazopigaga kwenye uchaguzi Mkuu kama kweli zinahesabiwa na kujumlishwa sawasawa!
Thamani ya Kura ipo wapi?
Hawa jamaa wa No Reforms, No election Wana hoja
cc;Walimu wasimamizi.