Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 55,705
- 104,843
HAPANA.Huwa zinafanyiwa hesabu za makadirio ya juu.Wadau nilitaka kujua kama Kura tunazopigaga kwenye uchaguzi Mkuu kama kweli zinahesabiwa na kujumlishwa sawasawa!
Thamani ya Kura ipo wapi?
Hawa jamaa wa No Reforms, No election Wana hoja
Hakuna kinachohesabiwa ni wanajiwekea tu asilimia zao za kutuibia ndio maana tupo naWadau nilitaka kujua kama Kura tunazopigaga kwenye uchaguzi Mkuu kama kweli zinahesabiwa na kujumlishwa sawasawa!
Thamani ya Kura ipo wapi?
Hawa jamaa wa No Reforms, No election Wana hoja
Jibu ni hapana.Nikupe mfano mwaka 2020 nilokutana na bodaboda mtwara akaniambia kwenye kituo alichopigia kura yeye alimpigia kura Lissu lakini matokeo yaliyo tangazwa kie kituo Lissu hakupata hata kura moja so nadhani kura huwa zimesha gawanywa by kituo so mkienda kupiga kura ni kuji sumbua tu.Wadau nilitaka kujua kama Kura tunazopigaga kwenye uchaguzi Mkuu kama kweli zinahesabiwa na kujumlishwa sawasawa!
Thamani ya Kura ipo wapi?
Hawa jamaa wa No Reforms, No election Wana hoja
Wadau nilitaka kujua kama Kura tunazopigaga kwenye uchaguzi Mkuu kama kweli zinahesabiwa na kujumlishwa sawasawa!
Thamani ya Kura ipo wapi?
Hawa jamaa wa No Reforms, No election Wana hoja