Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kutoka kuwa kuu wa taasisi overall inchi nzima mpaka kuwa confined Kwenye kimkoa kimoja!Amepanda......
Kutoka UKAMISHNA wa kuripoti kwa mkuu wa JESHI LA ULINZI mpaka UKAMISHNA wa KURIPOTI KWA RAIS.
👍👍Okay, hapo nimekuelewa
👍👍Kiulaji, ameshuka! Kisiasa, amepanda!
Kinyaa kwako....Mambo Mengine Yanatia Kinyaa!!
Teuzi Hizi Sijui Huwa Wanawaza Nini
Nadhani Ni Makosa Ya UandishiHalafu ameshuka na cheo kimoja maana tittle yake imeandikwa Brig General na wakati aliekua Brig general Gaguti yeye tittle imeandikwa Mej General
Ndiyo Ukweli WenyeweHiyo ni demotion.mkuu wa jkt ni mtu mkubwa sana
Bado ni Askari. Hapo ni kama kapangiwa jukumu jingine tu maana wakizinguaga huwa wanarudishwa Jeshini.Amepanda...
Kutoka UKAMISHNA wa kuripoti kwa mkuu wa JESHI LA ULINZI mpaka UKAMISHNA wa KURIPOTI KWA RAIS......
General Ni Mkubwa Kwa Major Generalamepanda sana! yupo kwenye ngazi ya utawala! ametoka kundi la kuwatumikia watawala na kuwa ngazi ya utawala. ndio maana jeshini hata uwe na cheo gani ila mkuu wa mkoa unampigia saluti. shida inakuja wakikiutana na mkuu wa majeshi sijui hapo nani anampigia saluti mwenzanke
mkuu wa majeshi atapigiwa tuuamepanda sana! yupo kwenye ngazi ya utawala! ametoka kundi la kuwatumikia watawala na kuwa ngazi ya utawala. ndio maana jeshini hata uwe na cheo gani ila mkuu wa mkoa unampigia saluti. shida inakuja wakikiutana na mkuu wa majeshi sijui hapo nani anampigia saluti mwenzanke
Ataendelea kuwa na rank hiyo hiyo ila kimajukumu nadhani atawekwa mwingine hapo JKT.Kwa hoyo bado ataendelea kuwa mkuu wa jkt