Hivi kutoka kuwa Mkuu wa JKT mpaka kuwa Mkuu wa Mkoa ni kupanda au kushuka?

Hivi kutoka kuwa Mkuu wa JKT mpaka kuwa Mkuu wa Mkoa ni kupanda au kushuka?

Maandaliiz ya kupigwa chin

Ameshukaaa pakubwa...

Huo ukuu wa mkoa anapewa hata kanal!!!

Jiulize je.... Ukuu wa Jkt anaweza pewa kanali!!!!( imposible)...

So mzee kapelekwa uko akaji~staafie uko..
 
Mbona wanyonge mnaongelea sana mambo ya watu wengine kupanda au kushuka, hizo zote ni nafasi za kiutumishi...unapoongelea kupanda na kushuka unakuwa unalenga nini hasa.
 
Mbona wanyonge mnaongelea sana mambo ya watu wengine kupanda au kushuka, hizo zote ni nafasi za kiutumishi...unapoongelea kupanda na kushuka unakuwa unalenga nini hasa.
Kupanda na kushuka
 
UMRI pia muhimu kujua

Mtu akifikia umri wa kustaafu aweza kupewa cheo cha kisiasa sababu kule aliko hafiti tena chuklulia mfano mkurugenzi mkuu wa TANESCO awe anastaafu akapewa ukuu wa mkoa utashangaa nini ?
 
DEMOTION Charles Mbuge kilicho mgaharimu ni kuwa karibu na Hayati JPM.

Ila ndio hivyo maisha lazma yaendelee
Unajua alioiga kazi sana ..sasa JPM akampandisha haraka haraka sasa kwa kuwa mama anataka kuweka wqtu wake jeshini...imebidi amutumbue kiutu uzima kwani kumbakisha pale inaweza kuwa hatari labda kwa wqtu wengine kuoanda kwani huwezi ukampandishq mtu wako ambaye anarank ya chini ukamuacha huyo.
 
Za zaidi ya yote hata MABEYO ANAONDOKA MDA SI MREFU KWANI MAMA LAZIMA AWEKE MTU WAKE ANAYEMUAMINI.SASA HUWEZI UKAWEKA MTU KAMA MKUU WA MAJESHI WAKATI WENYE RANK JUU YAKE BAO WAPO KWENYE SYATEM NDO MAANA UNAANZA KUWAKA VYEO VYA KINAFIKI KAMA URC
 
Nimeona Mkuu wa JKT, Brigedia Jenerali Charles Mbuge ameteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera.

Je, amepanda au ameshuka?

Nyie msiwe mnashangaa hayo majina ya vyeo vya kijeshi hao ni sawa na Maras wa Mikoa tu . Kumbuka wakuu wote wa Majeshi ni wadogo kwa katibu mkuu wa Wizara ila Wakuu wa Mikoa wapo karibu daraja Moja moja na Mawaziri .Kumbuka vita ya Makonda na Nape.
Kumbuka Commissioner General wa Fire aliteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kigoma(Andengenye)
Hayo Mavyeo ya kijeshi yananguvu kwa Wanajeshi wenyewe kwenye siasa siyo kihivyo wanachukuliwa kama wakurugenzi wa mikoa tu.
 
DEMOTION Charles Mbuge kilicho mgaharimu ni kuwa karibu na Hayati JPM.

Ila ndio hivyo maisha lazma yaendelee
Nfikiri pia, hayati alikua anamuandaa Mbuge kua Mkuu Majeshi ya Ulinzi na Usalama
 
Nfikiri pia, hayati alikua anamuandaa Mbuge kua Mkuu Majeshi ya Ulinzi na Usalama
Mama anaingiza watu wake ambao watakuwa loyal kwake kaanza na huyu, CDF, IGP and DGIS hawana muda mrefu.
 
Kitendo cha kuondolewa kuwa Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) na kwenda kuwa Mkuu wa Mkoa ni demotion.

Ikumbukwe chini ya utawala wa awamu ya 5 Meja Jenerali Mbuge alipanda vyeo kwa haraka sana mpaka watu wakamfikiria anaweza akaja kuwa CDF mpya.

Kwasasa ni kama amevutwa shati, je nini hatima yake baadae?
 
Hiyo ni 'technical demotion' kale ka mgomo ka madogo wa JKT nako kamechangia!
 
Back
Top Bottom